Madeni Kipande ampiga vibao Afisa Usalama wa Taifa

Madeni Kipande ampiga vibao Afisa Usalama wa Taifa

If you want to know the difference between a leader and a boss. The leader leads, and the boss drives.
 
Mtajwa hapo juu ambaye aliondolewa huko TPA na kuteuliwa kuwa RAS mkoa wa Katavi, amemchapa kibao afisa usalama mmoja hapo Katavi.

Tukio hilo limetokea msibani mjini mpanda.

Waziri mkuu Pinda alikwepo eneo la tukio.

Chanzo cha kisanga hicho hakijajulikana bado.

Haina haja ya kuuliza source, Mniamini kama Benki.
Pinda sio Waziri Mkuu
 
Mkuu ni mjinga sana huyu jamaa,
Aah alizingua mambo ya mafile akamsingizia secretary ndo kamisplace kumbe alikuwa hataki moja ya viongozi walione hilo file

Katoka kaanza mporomoshea matusi ps kuwa ma.laya wwe ps nae fyatu akamwambia mala.aya mwenye,
Fira.uni akajibu mwenyewe, akaenda mbali zaidi na kumwambia una.fiwa ps akajibu unafi.rwa na wewe

Ilikuwa aibu tupu, yaani ni anatukana kila mtumishi huyu bwege so kumpiga kibao huyo jamaa wa kitengo sishangai
Ila nadhani ana frustration za ukaguzi unaoendelea TPA mana aliitwa kule alikaa muda mrefu sana
Pengine ana matizo ya akili
 
Nimecheka sana hiyo inaitwa nipe nikupe niheshimu nikuheshimu
 
Alikuwa anatekeleza agizo la waziri mkuu aliyepita kwamba wapigwe tu, haina namna maana tushatoka sasa.
 
Kumbe ni Mpanda kule kwa muasisis wa apigwe tu basi apigwe tu maana hamna namna
 
we jike hapa uchaga umetoka wapi,
jk na wachaga kuna nini,hata ujipendekeze vipi jk ana tezi dume hawezi tena,tafuta mwanaume mwingine
Ndio maana nasisitiza wachaga mna ugwadu na Jk.Angalia povu linavyokutoka wakati hujijui hapo utapata tezi dume baada ya miaka mitano
 
Hivi yule jamaa alipona???maana ndugai alimpararua haswa..
Mkuu hayo ma jitu ya u Gambani yana roho za kishetani,Wala usitake kujua kilichompata Jamaa there after
 
Safiii sana, hao usalama wengine majinga sana
 
Back
Top Bottom