Madeni Kipande ampiga vibao Afisa Usalama wa Taifa

Madeni Kipande ampiga vibao Afisa Usalama wa Taifa

Juz kati hapa mwanga ocd wa mwanga kapokea mbao na taekondo plus judo hadharan mbele ya vijana wake na bodavoda kutoka kwa msaga gomba mmoja , cha ajabu mla mirungi huyo yupo mtaan kama kawa! Si afadhal huyo kachorongwa na RAS
 
Mtajwa hapo juu ambaye aliondolewa huko TPA na kuteuliwa kuwa RAS mkoa wa Katavi, amemchapa kibao afisa usalama mmoja hapo Katavi.

Tukio hilo limetokea msibani mjini mpanda.

Waziri mkuu Pinda alikwepo eneo la tukio.

Chanzo cha kisanga hicho hakijajulikana bado.

Haina haja ya kuuliza source, Mniamini kama Benki.
duh, Pinda yupi huyo ?
 
Hayo yanawezakana tu kwa serikali ya ccm ,hata huyo pinda aliwahi toa kauli za watu wapigwe.
 
Hawa usalama wanajiona miungu watu

kivipi? post yako imekaa " kiwivu wivu " hivi mkuu. basi kwa kukusaidia tu hakuna kada ya watu ambao ni WAUNGWANA na WASTAARABU huku wakiwa wanajua WANAFANYA nini bila kusahau kuwa ni watu walio na MAADILI na UTIIFU wa hali ya juu. anyway ngoja tu niishie hapa na niwaachie wenyewe ( wana usalama ) waje kwani wapo humu.
 
Kwa jinsi anavyotukana wafanyakazi ofisini tena matusi ya nguoni, sishangai,
Mana last week katukanana na secretary matusi ya nguoni hadi aibu............
 
Mtajwa hapo juu ambaye aliondolewa huko TPA na kuteuliwa kuwa RAS mkoa wa Katavi, amemchapa kibao afisa usalama mmoja hapo Katavi.

Tukio hilo limetokea msibani mjini mpanda.

Waziri mkuu Pinda alikwepo eneo la tukio.

Chanzo cha kisanga hicho hakijajulikana bado.

Haina haja ya kuuliza source, Mniamini kama Benki.
Kwa nini usimshauri amgeuzie na shavu LA kulia ili maandiko yakamilike?
 
Kwa jinsi anavyotukana wafanyakazi ofisini tena matusi ya nguoni, sishangai,
Mana last week katukanana na secretary matusi ya nguoni hadi aibu............
Hiyo niliisikia kwa mbali.
Ongeza nyama
 
Hiyo niliisikia kwa mbali.
Ongeza nyama
Mkuu ni mjinga sana huyu jamaa,
Aah alizingua mambo ya mafile akamsingizia secretary ndo kamisplace kumbe alikuwa hataki moja ya viongozi walione hilo file

Katoka kaanza mporomoshea matusi ps kuwa ma.laya wwe ps nae fyatu akamwambia mala.aya mwenye,
Fira.uni akajibu mwenyewe, akaenda mbali zaidi na kumwambia una.fiwa ps akajibu unafi.rwa na wewe

Ilikuwa aibu tupu, yaani ni anatukana kila mtumishi huyu bwege so kumpiga kibao huyo jamaa wa kitengo sishangai
Ila nadhani ana frustration za ukaguzi unaoendelea TPA mana aliitwa kule alikaa muda mrefu sana
 
Back
Top Bottom