Mademu wakimya mnakera mnoo

Ahsante mkuu ushauri wako ni mzurii
 
Napenda sana wanawake wakimya... mie mkimya pia....
 
Nooo mimi ni story za kuchekesha tu na miti [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣 sasa huo ndio uke wema, sio kuanzishiana varangati. Mwenzio leo hata kazini hajaenda anajiuguza mgongo huko. Ukisikia mdomo uliponza kichwa ndio hivyo yani.
 
Aisee! dawa yenu ni kuweka earplugs alafu unatikisa kichwa taratibu ukifuatiliza ishara na alama za mienendo ya mdomo..[emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkimya upate mwenye combination ya romantic and cool attitude hapo utafurahia maisha.
Haongei sana kwa watu wa nje ila mkiwa wawili ni kucheka na story kibao in a very friendly way...ila akiwa nje ya lovezone yenu anakuwa hataki mazoea kiasi kwamba raia wanamgwaya. Huyo mwanamke ndio safi sana.
 
Wangu yeye haongei na mtu,yaani mkiwa wote njiani wewe utasalimiana na jamaa zako na watu mnaofahamiana njiani yeye yupo kimya,hata kama utamtambulisha huyu ni flani ataishia kumsalimia siku hiyo na hata akikutana naye kesho hatamkumbuka,mimi na yeye tunaongea tu japo kuna zile unarudi home unamkuta yupo kimya tu,ukimuuliza shida nini anasema hamna tatizo lolote,ila akianza kuongea na ndugu zake kwenye simu mpaka unaweza kumwambia aende nje maana siyo kwa kelele hizo,kama mjuavyo wamaasai ila kwa ndugu na jamaa wanaokuja nyumbani wakishamaliza salamu basi ndiyo imetoka hiyo,ngoja tu niishie hapa ila mimi nilishamzoea sema kwa watu wanaonizunguka wanapata tabu sana.
 
Yeah inasaidia kuchezesha akili yake lazma ataongea tu. Mi napenda mwanamke mpole ambae anapenda kucheka cheka akiwa na mimi. Huyo ndio atanikuna mpaka ukoko wa moyoni. Hata tukigombana nikimfanyia vituko flani afurahie tusameheane maisha yaende.

Wanawake wa mipasho wanaboa kinoma.
 
Yaah anapenda sana utani japo huwa anafurahi napokuwa natania watu.. huwa anabaki kucheka tu
Sasa mwanamke kama anapenda utani means she can laugh on your jokes as well. Unataka nini kingine mzee baba au hata ukimchekesha anakaza uso tu?
 
Mi wangu pia mkimya balaa sipendi, kimchepuko nakizidi umri twice yaan katundu kananirukia hadi mgongoni, nakependea hapo tu
 
Mkuu umemaliza kila kitu... Big up sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…