Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Kwani smart911 muongeaji??Hahahaha. .Wengine ni inborn character jamani elewa hilo ..binafsi sipendi mwanaume muongeaaaaaaajiiii
Cc Smart911
Kwani smart911 muongeaji??Hahahaha. .Wengine ni inborn character jamani elewa hilo ..binafsi sipendi mwanaume muongeaaaaaaajiiii
Cc Smart911
/ukipata mwenye sifa/muongo mkubalie kila kitu msifu/ukipata wazee wa dharau basi dharau ifuate mkondoUkiongea si unatoa points lakini mkuu?Mi mkimya
yaani nimesona tuu nikasema daah huwa kila mtu ana tabia yake hata mimi napenda mwanamke mkimya yaani akili inatulia tuliAisee na mimi nilivyo mkimya nadhani tungeendana sana. Naomba tubadilishane mkuu.
yaani nimesona tuu nikasema daah huwa kila mtu ana tabia yake hata mimi napenda mwanamke mkimya yaani akili inatulia tuli
hakuna mwanamke mkimya kwa mwanaume wake jichunguze vizuri kuna mahali una kwamaHabari za majukumu wakuu?
Kiukweli mademu wakimya sana wana boa mno.. Una kuta demu mzurii kabisa na elimu yake lakini yupo kama bubu hawezi hata kuchangia maada yoyote katika vikao vya ukoo au familia. Yaani kila kitu mpaka mwanaume aseme, yeye ni kusikiliza tu yaani hachangii chochote mpaka kero..
Back to the main point..
Yaani huyu demu wangu nafikiri ndo rais wa mademu wakimya duniani, nisipo msemesha mimi jua siku hiyo nzima hata ongea.
Mashemeji zake na mawifi zake wote wanamuogopa yaani baada ya salamu tu hana time nao tena.
Mi huwa naongea nae kwa kumuuliza vi maswali vya hapa na pale ndo wakati anajibu hapo ndo tunapiga story hivo.. Sasa inafika wakati na mimi maswali ya kumuuliza yanaisha tunabaki tunatazamana tu..
Tuna miaka mitatu kwenye mahusiano ila yupo vile vile tu.. Nilipo jaribu kumuuliza kuhusu ukimya wake akasema ndivo alivo tu..
Ni mtu anae penda sana kujifunza vitu vingi, akimaliza kazi zake anaenda kwenye tv kufatilia BBC na CNN news pia ni shabiki mzurii wa mpira wa miguu anaweza taja hata kikosi kizima cha buyern munchen..
Watu wanamuogopa mnoo hata wageni hawaji siku akiwepo home.. Yaani hata ushoboke vipi hana time na wewe..
Ni mzurii sana wa sura na umbo na elimu nzuri anayo shida ipo hapo kwenye ukimya ulio pitiliza..
Alafu yupo emotional sana, yaani nikimtia mkwara kidogo tu atashinda analia siku hiyo..
Kweli "too much of any thing is harmful"
Simaanishi napenda mademu wanaoongea kama chiriku.. Kila
kitu kiwe cha wastani
Location: dodoma
Watu wanamuogopa yaani hana shobo na mtu kabisa yeye yupo busy na mambo yake tuMuache..
Mtu yeyote unatakiwa kuwa na wastani wa kila kitu
Pia kuishi kulingana na mazingira
Mimi shemeji zangu wote na mawifi wananikubali sana.
Ikihitaji kuongea naonge/kukaa kimya nakaa tena utadhani sijawahi kuongea hata mwaka mmoja
Pia unaangalia kuna wifi au shemeji mbea basi uyo ukikataka muelewane mkikaa teteni weeh/mwingine yeye mtu wa mipango yani hapo ni mipango tu/mwingine yeye baba/mama ushauri hapo mnashauriana mno/ukipata shemeji Mtu wa Ganja mkikaa elekezaneni jinsi ya kukimbia maaskari mkikaa kwa pusha/ukipata mwenye sifa/muongo mkubalie kila kitu msifu/ukipata wazee wa dharau basi dharau ifuate mkondo
Sasa wewe shemeji yako Esma unamwambia "muhubiri anasema"
Hutakaa upendwe nao kamwe wala kuelewana
Aisee na mimi nilivyo mkimya nadhani tungeendana sana. Naomba tubadilishane mkuu.
duuh kazi maana mimi pia niliwahi kuwa na demu wa hivyo machoni pa watu ni kauzu balaa ila ni kiwa naye mimi ananisimulia hadi chupi aliyovaa asubuhi...maybe try to tell her new jokes ...lakini mademu wakimya ni wa ukweli sana huwa hawana mazoea ya kucheka cheka na mabishoo hiyo pia inaongeza ka security fulani kwenye mahusiaono maana watakua wanamuogopaNi miaka mitatu nipo nae na hii tabia ni tangu tunaanza mahusiano na nlimwambia aiache ila kashindwa
Hahaha kabisa.Wale wa buza,mbagala ndo wanamfaaa
Mtoa mada hujui unataka sisi wakimya watu poa sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hiyo ni Bahati mkuu shukuru Mungu Aiseee maana cc tulio Oa Clouds Fm ni Shida.
Hiyo ni Bahati mkuu shukuru Mungu Aiseee maana cc tulio Oa Clouds Fm ni Shida.



AiseeeeeHajawahi kukutana vuvuzela aisee, mtu anaongea kuanzia asubuhi mpaka ndotoni, wakati wa kula mpaka amalize kukupakulia chakula kimejaa mate.


umenikumbusha mbali!