Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Majina ya akina Mariam huwa Ni wapole Sana
Mariam birian je?
Majina ya akina Mariam huwa Ni wapole Sana
Sio fresh kumuacha,siungi mkono hilo swalaMuache..
Mtu yeyote unatakiwa kuwa na wastani wa kila kitu
Pia kuishi kulingana na mazingira
Mimi shemeji zangu wote na mawifi wananikubali sana.
Ikihitaji kuongea naonge/kukaa kimya nakaa tena utadhani sijawahi kuongea hata mwaka mmoja
Pia unaangalia kuna wifi au shemeji mbea basi uyo ukikataka muelewane mkikaa teteni weeh/mwingine yeye mtu wa mipango yani hapo ni mipango tu/mwingine yeye baba/mama ushauri hapo mnashauriana mno/ukipata shemeji Mtu wa Ganja mkikaa elekezaneni jinsi ya kukimbia maaskari mkikaa kwa pusha/ukipata mwenye sifa/muongo mkubalie kila kitu msifu/ukipata wazee wa dharau basi dharau ifuate mkondo
Sasa wewe shemeji yako Esma unamwambia "muhubiri anasema"
Hutakaa upendwe nao kamwe wala kuelewana
hapana usingefanya hivyo huyo inabidi umfanye ajiskie comfortable kuongea pumba mbele yako, atakuona wa tofauti sana jinsi utavochukulia kawaida hayo mashudu yake kwasababu everybody else is judging her except you. pengine ametembea kwenye mahusiano mawili matatu na ameona kabisa jinsi ex zake walivokua wanamchukulia poa kwasababu ya kuongea mashudu so moyoni anakua anajipromise kabisa next time akipata mwanaume atapunguza kuongea ili asionekane kilaza.Mi nlikuwa na kademu hakaongei hivyo hivyo. Siku nzima kimyaa...nakapigisha stori kanacheka tu afu kimya tena...shida akiongea sasa ni utumbo mtupu...nikawa naprefer kumuacha apige kimya tu..
Oh .. wish ningepata huu mtazamo mapema...sema ndo ishakuwa too late..hapana usingefanya hivyo huyo inabidi umfanye ajiskie comfortable kuongea pumba mbele yako, atakuona wa tofauti sana jinsi utavochukulia kawaida hayo mashudu yake kwasababu everybody else is judging her except you. pengine ametembea kwenye mahusiano mawili matatu na ameona kabisa jinsi ex zake walivokua wanamchukulia poa kwasababu ya kuongea mashudu so moyoni anakua anajipromise kabisa next time akipata mwanaume atapunguza kuongea ili asionekane kilaza.
Kama ndivyo alivyoumbwa tangu tumboni huna namna ya kumbadili zaidi ya kuiboresha personality yake.Huo ukimya nao ni fursa pia.Mungu siyo mjinga.Habari za majukumu wakuu?
Kiukweli mademu wakimya sana wana boa mno.. Una kuta demu mzurii kabisa na elimu yake lakini yupo kama bubu hawezi hata kuchangia maada yoyote katika vikao vya ukoo au familia. Yaani kila kitu mpaka mwanaume aseme, yeye ni kusikiliza tu yaani hachangii chochote mpaka kero..
Back to the main point..
Yaani huyu demu wangu nafikiri ndo rais wa mademu wakimya duniani, nisipo msemesha mimi jua siku hiyo nzima hata ongea.
Mashemeji zake na mawifi zake wote wanamuogopa yaani baada ya salamu tu hana time nao tena.
Mi huwa naongea nae kwa kumuuliza vi maswali vya hapa na pale ndo wakati anajibu hapo ndo tunapiga story hivo.. Sasa inafika wakati na mimi maswali ya kumuuliza yanaisha tunabaki tunatazamana tu.
Tuna miaka mitatu kwenye mahusiano ila yupo vile vile tu.. Nilipo jaribu kumuuliza kuhusu ukimya wake akasema ndivo alivo tuNi mtu anae penda sana kujifunza vitu vingi, akimaliza kazi zake anaenda kwenye tv kufatilia BBC na CNN news pia ni shabiki mzurii wa mpira wa miguu anaweza taja hata kikosi kizima cha buyern munchen..
Watu wanamuogopa mnoo hata wageni hawaji siku akiwepo home.. Yaani hata ushoboke vipi hana time na wewe.Ni mzurii sana wa sura na umbo na elimu nzuri anayo shida ipo hapo kwenye ukimya ulio pitiliza..Alafu yupo emotional sana, yaani nikimtia mkwara kidogo tu atashinda analia siku hiyo..
Kweli "too much of any thing is harmful"
Simaanishi napenda mademu wanaoongea kama chiriku.. Kila
kitu kiwe cha wastani
Location: dodoma
Huyo "Clouds FM"naye ni fursa nzuri tu.Kama hazina ya moyo wake ikijazwa maneno ya Hekima mbona utampenda bure.Shida inakuja pale ambapo hazina ya moyo wake imejazwa mipasho,misuto na uswahili-swahili.Kazi kwako.Hiyo ni Bahati mkuu shukuru Mungu Aiseee maana cc tulio Oa Clouds Fm ni Shida.
We kwa vyovyote vile ni "Baba Levo".HahahaaaaaTulioa mavuvuzela tunajuta huku ndo maana tunaogopa kurudi nyumbani tunaanzia bar
Hahahaaaaa.Aibu kwa mke inazidisha urembo wake na kunogesha haiba yake ya kike.Enjoy ndugu.Wangu mie aibu tu
10yrs in marriage ni aibu aibu aibuuu kwa kwenda mbele
Kwa wageni akisalimia tu anazama chumbani kumchomoa huko unahitaji greda na bludoza
Wakimuona ana kiburi ndo anakuwa ana kiburi?.Acha kuendekeza upuuzi.Ndugu zangu wanamuona ni mtu mwenye kiburi sana
Mpelelezi akija kwa staili ya ukimya mbona ndo rahisi kushtukiwa.HahahaaaaVipi Lakin kitandani unamkojolesha? Na vipi akiwa anapiga bao huwa napo aongei?
Angalia usiwe umeoa mpelelezi kutoka magogoni mkuu
Kama Mungu ndivyo alivyotaka uwe na uheshimiwe na watu wote.God is smarter than a smart-phone.huyo ni Mimi kabisa..unaweza kuambiwa unaringa
Hiyo ni Bahati mkuu shukuru Mungu Aiseee maana cc tulio Oa Clouds Fm ni Shida.
Yaonyesha jamii yetu imejaa wanawake vilaza na wacheza vigodoroNilivyo kusoma tena nimegundua kitu kiongozi kama ulivyosema uyo dem ni mtu anaependa kujifunza mambo mengi kuna uwezekano story zako uwa anaziona pumba inambidi tu akae kimya chakufanya jaribu kujifunza vitu vigumu mpaka akione genius apende kujifunza mambo mengi toka kwako
Nasema ivyo kwasababa mke wa jamaa yangu yuko ivyo anaogopwa kichizi mimi nimetokea kupata nae mpaka mshkaji anashangaa Shem story zake ni ngumu mambo so akikutana na mimi mzee waku google mastori anakuwa very interested kupiga stor ukienda na pumba lazima umuone bubu


Nakuhakikishia mtapiga story siku nzima.