dracular
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 769
- 1,073
- Thread starter
- #221
Ahsante mkuu ushauri wako ni mzuriiHongera sana mkuu,hilo sio tatizo hata kidogo kwanza jiponeze kua na mwanadada wa karama hiyo, jikite na uwezo wake chanya wadada wa leo wengi wanamapungufu yanayosononesha mioyo ya wakaka sasa hilo la kwako kwakweli ni maakuzi yake aliyonayo. usichokonoe sana mkuu wewe mjenge pole pole maana hiyo hali umemkuta nayo na amekua nayo kwa miongo kadhaa hiyo ukitaka kumould aendane na hitaji lako inabidi pia ikuchukue mda kumjenga na usichoke. nakupa heko tu kua na jembe la hivyo



