Hamna, ndio alivyo komaa nae tuuOiii baharia comrade kipepe.. huyu mtu ni ana dharau nahisi
Wewe pia wamwogopa that's y umekuja andika mtandaoni badala ya kujadil naye.Watu wanamuogopa yaani hana shobo na mtu kabisa yeye yupo busy na mambo yake tu
Huna jema wewe, badala ya kumshukuru mungu kukupa hicho, bize unalalamika. Ulitaka awe anaongea sana kwani ni ajira? Jambo la muhimu anatimiza majukumu yake kama mwanamke, anajitambua na kujiheshimu, akikupa unashiba na si mgawaji kwa shemeji zake. Mengine ni ziada tu.Habari za majukumu wakuu?
Kiukweli mademu wakimya sana wana boa mno.. Una kuta demu mzurii kabisa na elimu yake lakini yupo kama bubu hawezi hata kuchangia maada yoyote katika vikao vya ukoo au familia. Yaani kila kitu mpaka mwanaume aseme, yeye ni kusikiliza tu yaani hachangii chochote mpaka kero..
Back to the main point..
Yaani huyu demu wangu nafikiri ndo rais wa mademu wakimya duniani, nisipo msemesha mimi jua siku hiyo nzima hata ongea.
Mashemeji zake na mawifi zake wote wanamuogopa yaani baada ya salamu tu hana time nao tena.
Mi huwa naongea nae kwa kumuuliza vi maswali vya hapa na pale ndo wakati anajibu hapo ndo tunapiga story hivo.. Sasa inafika wakati na mimi maswali ya kumuuliza yanaisha tunabaki tunatazamana tu.
Tuna miaka mitatu kwenye mahusiano ila yupo vile vile tu.. Nilipo jaribu kumuuliza kuhusu ukimya wake akasema ndivo alivo tuNi mtu anae penda sana kujifunza vitu vingi, akimaliza kazi zake anaenda kwenye tv kufatilia BBC na CNN news pia ni shabiki mzurii wa mpira wa miguu anaweza taja hata kikosi kizima cha buyern munchen..
Watu wanamuogopa mnoo hata wageni hawaji siku akiwepo home.. Yaani hata ushoboke vipi hana time na wewe.Ni mzurii sana wa sura na umbo na elimu nzuri anayo shida ipo hapo kwenye ukimya ulio pitiliza..Alafu yupo emotional sana, yaani nikimtia mkwara kidogo tu atashinda analia siku hiyo..
Kweli "too much of any thing is harmful"
Simaanishi napenda mademu wanaoongea kama chiriku.. Kila
kitu kiwe cha wastani
Location: dodoma
Location Dodoma !inauhusiano gani hapa mkuu!Habari za majukumu wakuu?

HahhhahhhahhaaNikupe huyu wangu muwe mna bet
,laiti angejua unamdisi huku.I love you ghafra! Coz napenda wanawake wanaolia nikiwapiga mkwara maake napenda sana utawala wa kibabe japo sijui kupiga.
I ravyuu too ghafra(kiddin).Kuna kipindi inatakiwa mnapiga story na mpenzi wako.. Sasa yeye ni kusikiliza na kucheka tu basiiiHuna jema wewe, badala ya kumshukuru mungu kukupa hicho, bize unalalamika. Ulitaka awe anaongea sana kwani ni ajira? Jambo la muhimu anatimiza majukumu yake kama mwanamke, anajitambua na kujiheshimu, akikupa unashiba na si mgawaji kwa shemeji zake. Mengine ni ziada tu.
Najiamini sana tu na kielimu tupo sawa japo tumesoma fani tofauti tofauti.. na kuhusu hili jambo nimeongea nae sana tuWewe pia wamwogopa that's y umekuja andika mtandaoni badala ya kujadil naye.
I guess kuna vitu anakuzid Kama:
Mosi;elimu
Pili;fedha ama uwezo wa kiuchumi
Tatu;upeo wa Mambo in general
Hivi vinakuletea inferiority complex in ur relationship
Solution mface mlidiscuss hili,ukishindwa mwache mapema usimpotezee muda cause kwa comments na majibu yako yaonyesha hujiamini ukiwa naye na hamtofika mbali,hata ukimwoa hutaweza mface akikosea ama ukitaka mjadil progress ya family yenu utaishia kumteta kwa ndugu zako ama majiran tu na hiyo siyo nzuri kwa afya ya mahusiano.
Hiyo ni Bahati mkuu shukuru Mungu Aiseee maana cc tulio Oa Clouds Fm ni Shida.

Mtahitaji redio nyingi ndani pamoja na tv kila chumba ili kuchangamsha nyumba 🤣🤣🤣🤣🤣 vinginevyo mtakaribisha majini ndani maana nyumba imetulia mno.Aisee na mimi nilivyo mkimya nadhani tungeendana sana. Naomba tubadilishane mkuu.
Yani yna2 una aibu namna hio? Aisee kuna demu nilimuacha kwa sababu ya aibu za kijinga, it was too much for me. Imagine nishamkaza mara kadhaa ila kila tukifika eneo la tukio anaficha uso mara tuzime taa aargh. Halafu wanawake wenye aibu mpo too emotional, yani kwa ulalamishi hamna upinzani.huyo ni Mimi kabisa..unaweza kuambiwa unaringa
Nipe tafadhali fanya hima!Nikupe huyu wangu muwe mna bet
Kwa hiyo unafanyaje mkuu.Hahaha me nina times fm huku ni hatari fayaa 🤣🤣🤣 hadi najiuliza nilikwama wapi. Maana KE kupitisha siku 2 bila malumbano nyongo yake haitulii
Nimeamua kugida IMAGI tu mpaka mida ambayo KAPUNI,HUBA na KITIMTIM zinapokuwa zimeshaisha ndio naelekea kulaza ubavu maana kama kuongea na makofi nishacharaza sana mwishowe nikahisi jela inaniita nikaamua kuacha sikio la kufa.Kwa hiyo unafanyaje mkuu.
🤣🤣🤣🤣🤣 mi menyewe nshakumiss rudi kwenye uzi tafadhali.Basi kwa Uzi huu wengi watajifanya ni wa pole ili wapate sifa. Kozi ulosoma ndio inakufanya ujuwe kuongea. Eti demu kasoma mathematics utegemee aongee nini? Sasa mtu kasoma history na language si lazima ajue kuongea na kujieleza.
Sio vizuri kuongea kupitiliza na kuongea pointless.
team charming tujuane.😂😂😂😂binafsi kumzoea mtu ni rahisi sana,coz napenda kuuliza na kuelewa, pia napenda kupiga story.
Nikikaa na mtu mkimya nikitoka tu lazima animis tu.