dracular
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 769
- 1,073
- Thread starter
- #161
Huwa najitahidi sana kupiga nae story japo msemaji huwa ni mimi tu..Nadhani wengine wanakuwa na matatizo ya kisaikolojia tokea utotoni mwao, inawezekana kabisa wazazi/mzazi walichangia kwa kiasi huyo binti kuwa hivyo. Wengine ni kwasababu wazazi walikuwa wanamchunga sana na viboko na kukaripia mara kwa mara. Mtoto atakuwa kama unavyotaka sawa atakuwa successful kwenye masomo lakini anajenga uoga na kutojiamini kwa kiasi kikubwa sana na ndio maana ukimpiga mkwala unamuumiza sana maana huwa anakumbuka mateso matusi aliyokumbana nayo alipokuwa mtoto, wengine waliwahi kubakwa na wazazi wao na kuwatishia Maisha, kwa style hio hio ya Question and Answer unaweza kujifunza mengi toka kwake, ukianza na wewe kuelezea past zako ulipokuwa mtoto na shida ulizopitia naamini na yeye anaweza kufunguka.


mchukulie ivo ivo tuu,watu tupo tofauti sana.
/ukipata mwenye sifa/muongo mkubalie kila kitu msifu/ukipata wazee wa dharau basi dharau ifuate mkondo