Mademu wakimya mnakera mnoo

Kuna kipindi inatakiwa mnapiga story na mpenzi wako.. Sasa yeye ni kusikiliza na kucheka tu basiii
😂😂😂😂😂 huyo mkeo jau mkuu ni kama X wangu flani niliemkimbia ilibidi nianze kumfundisha jinsi ya kuanzisha story maana baada ya salamu na kujuliana hali hana story ila anataka apigiwe simu kila saa.

Mke akiwa too cool inazingua hasa kwa mtu Extrovert kama mimi.
 
Nimeamua kugida IMAGI tu mpaka mida ambayo KAPUNI,HUBA na KITIMTIM zinapokuwa zimeshaisha ndio naelekea kulaza ubavu maana kama kuongea na makofi nishacharaza sana mwishowe nikahisi jela inaniita nikaamua kuacha sikio la kufa.
Hahahaaaaaaa ila vipi mida ya kazi ikifika si anaongea.
 
Hahahaaaaaaa ila vipi mida ya kazi ikifika si anaongea.
Eh kwenye kibarua chake yupo vizuri ila shida ni hapo kuharibiana siku tu ndio kero...

Ni mtu flani anapenda kuhukumu yani. Anaweza kuona kitu flani badala ya kuhoji kwanza akusikilize ana conclude directly we ndio umefanya au umesababisha. She is too judgmental mzee, ukijaribu kujielezea ndio kama umetupa kijinga cha moto kwenye Petrol mwishowe namnyamazisha na kofi tu maana hatakaa anyamaze hata umpe ushindi.
 
Noma sana aisee.. yaani jau kinoma
 
Hahah redio mbao ni msala aisee, nafikiri 80% ya mabaharia wanaoning'inia kwenye viti vya bar mida ya saa 9-4 usiku ni wanaume ambao wakiwahi home ni kelele tu. Bora urudi ukute redio ishalala.
 
Mtahitaji redio nyingi ndani pamoja na tv kila chumba ili kuchangamsha nyumba 🤣🤣🤣🤣🤣 vinginevyo mtakaribisha majini ndani maana nyumba imetulia mno.

Wengine tunaongea mpaka asubuhi tumekutana wote waongeaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengine tunaongea mpaka asubuhi tumekutana wote waongeaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah kuongea sio tatizo, swala ni mnaongeaje mama, maana yaweza kuwa mnachambana hadi asubuhi 😂😂😂😂 ila kwa soga tu inakuwa freshi.
 
Hahahah kuongea sio tatizo, swala ni mnaongeaje mama, maana yaweza kuwa mnachambana hadi asubuhi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kwa soga tu inakuwa freshi.

Nooo mimi ni story za kuchekesha tu na miti [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulioa mavuvuzela tunajuta huku ndo maana tunaogopa kurudi nyumbani tunaanzia bar
Ilinikuta hiyo babu yaani kurudi hm issue. Ikawa nashinda bar tu night kali nikirudi nakuta kazimika basi afadhali.
 
Hongera sana mkuu,hilo sio tatizo hata kidogo kwanza jiponeze kua na mwanadada wa karama hiyo, jikite na uwezo wake chanya wadada wa leo wengi wanamapungufu yanayosononesha mioyo ya wakaka sasa hilo la kwako kwakweli ni maakuzi yake aliyonayo. usichokonoe sana mkuu wewe mjenge pole pole maana hiyo hali umemkuta nayo na amekua nayo kwa miongo kadhaa hiyo ukitaka kumould aendane na hitaji lako inabidi pia ikuchukue mda kumjenga na usichoke. nakupa heko tu kua na jembe la hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…