Mademu wa mjini... Aka, sioi mie!

Mademu wa mjini... Aka, sioi mie!

Tatizo lingine pia ni kama hili kwenye thread...mademu wa mjini hapa ujuaji mwingi (mm bahati nzuri nakutana nao kila siku kwenye kazi yangu)..hawataki kusubiri..sio wasikilizaji wazuri...wanajidai wajuaji na mambo ya kuiga kuiga...angalia hata hii thread wanavyoijibu...mana kama mtu imemgusa mtu anatakiwa akae atafakari kwa nini jamaa kaandika ivi ?...mtu mwenye busara anajiuliza je ni kweli...? lakini angalia wanavyojibu....mwingine anajibu tu kwa sasbabu kaona mwenzake amejibu hivyo(Kuiga)....ndo mademu wa mjini hao anaosema jamaa...busara hakuna...!!!
 
Wewe unatafuta mke kwenye disco na baani halafu unategemea nini.Lakini kama utaenda kutafuta mke nyumba za ibada utapata anayejiheshimu hata kama ni hapa hapa mjini.Halafu mimi huwa napenda msichana ambaye anaweza kukueleza waziwazi kuwa anakupenda hayo mambo ya kuona aibu, sijui kula nyasi, kuchora chini ni ya kizamani.Anaweza akawa anakula nyasi, anaona aibu, anachora chini kumbe ni kicheche.Kama kweli unataka mke muombe Mungu atakusaidia.

Hapo kwenye blue umenena vyema, ila hapo kwenye red umeharibu. Nani alikwambia kwenye nyumba za ibada ndiko waliko wake wema?? Hujui ya kuea nyumba za ibada saiv zimegeuka kuwa pango la kuficha maovu..????? KALAGHABAO.......
 
Kweli we mshamba ndugu yangu na pia ni mshamba wa kutongoza nlimaanisha kuwa huna swaga dats why unatongoza mwanamke anakutumbulia mimacho cz anakushangaa et!!!!!!.Na unatakiwa umpate mshamba mwenzio ili umdanganye vizuri. Tena hao wala nyasi ndo hatari balaa!!! We kamzoe kijijin harafu mlete mjini mpigishe vi carolite na vimake up na vipamba kidogo harafu muonyeshe vimitaa kidogo uone habari ya MUJINI.
 
Usije mjini nd wimbo unaokufaa Cc: BAK

Au wewe ni wale kina dogo janja, umeshafika Chalinze ndo unalisingia lisongi lenyewe mwanawani...basi inabidi tukupe lile la karibu Dar la Kala Jeremiah.
 
ha haaaa, ina maana na sisi hatutaki kuolewa na "wa kike"?
una kesi wewe rafiki, jana umenilaza mlango wazi, lol!
hope mpo pouwa

Najua my dear, remember simu yangu iliyokuwa inanusumbua? Niliirudisha ofcourse l did back up everything kwa computer. Kwa muda nina simu ambayo haiko compatible na iPhone, so contacts nyingi sina. So flash me hny, and sintakulaza nje today.
 
Kaoe kijijini kama jirani yangu baba chale
mke alivyojua kwenda salon tu akawa hakamatiki,
ndoa ilidumu kwa miaka mitatu, hadi leo baba chale ni bachela.

ukitaka mwenye aibu mwoe Madame B, alishasema ana aibu.
 
Last edited by a moderator:
too much generalization
Wewe unatafuta mke kwenye disco na baani halafu unategemea nini.Lakini kama utaenda kutafuta mke nyumba za ibada utapata anayejiheshimu hata kama ni hapa hapa mjini.Halafu mimi huwa napenda msichana ambaye anaweza kukueleza waziwazi kuwa anakupenda hayo mambo ya kuona aibu, sijui kula nyasi, kuchora chini ni ya kizamani.Anaweza akawa anakula nyasi, anaona aibu, anachora chini kumbe ni kicheche.Kama kweli unataka mke muombe Mungu atakusaidia.
 
Najua my dear, remember simu yangu iliyokuwa inanusumbua? Niliirudisha ofcourse l did back up everything kwa computer. Kwa muda nina simu ambayo haiko compatible na iPhone, so contacts nyingi sina. So flash me hny, and sintakulaza nje today.
ha haaa, flash ya ukweliukweli, si unajua? kimtindo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tatizo lingine pia ni kama hili kwenye thread...mademu wa mjini hapa ujuaji mwingi (mm bahati nzuri nakutana nao kila siku kwenye kazi yangu)..hawataki kusubiri..sio wasikilizaji wazuri...wanajidai wajuaji na mambo ya kuiga kuiga...angalia hata hii thread wanavyoijibu...mana kama mtu imemgusa mtu anatakiwa akae atafakari kwa nini jamaa kaandika ivi ?...mtu mwenye busara anajiuliza je ni kweli...? lakini angalia wanavyojibu....mwingine anajibu tu kwa sasbabu kaona mwenzake amejibu hivyo(Kuiga)....ndo mademu wa mjini hao anaosema jamaa...busara hakuna...!!!

wanaboa ndugu. Hao wanaocomment ovyo ndio niliowakusudia. Ukweli umewauma!
 
Ukiona hivyo jua wewe ni wa kijijini wa mjini huwawezi nenda kwa hao wenzako wa kijijini mjini waachie wenye nako,potea fasta
 
we kweli mshamba, kaoe tu shambani!!! Nani wa mjini cku izi utamdanganya sili,silali, sipumui,mapigo ya moyo yamesimama kwa ajili yako??? NENDA TU KATUFUTE HAO WACHORA CHINI!! Town tuachie sisi tu ndo tunawezana nao

Hahahahahhahahah duh
 
......huku mjini tushasahau habari za kutongozwa, ni kumwagiwa pesa tu!!!!!
wasalimie kijijini, ukirudi niletee magimbi.
 
Sasa kama mtu unakuja na mashairi ambayo hayaeleweki katika kutongoza unadhani utaambulia kitu?

Jipange kijana, kumtongoza mwanamke sio kama kuendesha baiskeli kunahitaji mashairi yaliyoenda shule. Mambo ya sili silali bila kukuona yameshapitwa na wakati. Kwa style hiyo hata huku unapokimbilia kuolea utaambulia patupu.

BTW kama una muda wakutosha njoo kwenye course yangu ya kutongozea upate mashairi yaliyoenda shule sio lupiga blaaa blaaa nyingi huku ukitegemea mtu akung'atie kucha au aandike chini.
Kweli aisee itabidi akuone. Kuhusu mke mwema kila sehemu anapatikana na unaweza pia usimpate hata huko kijijini kwani kila sehemu ina mashetani wake. Aseme tu hawezi kuwadanganya maana wa mjini inabidi ujipange kweli kumdanganya haya mambo ya kusema ooo mimi ni meneja TRA kumbe wewe muuza magazeti anataka nani. Mjini ni kusema ukweli mtupu ili usiumbuke. Tena wengi wa mjini wana chachu ya maendeleo maana wameona mengi hawana tena mambo ya kushangaa shangaa.
 
Bora nionekane mshamba. Demu wa town sioi mie! Hivi mnajua jamani wanawake wengi wa mjini mmepoteza mvuto wa kuolewa! Sababu nini mnajua? Mmepoteza sifa moja muhimu sana inayomvutia sana mwanaume ukiwa nayo, nayo ni AIBU. Hamna aibu tena. Demu wa kijijini ukimpiga songi anaandika chini kwadole gumba, mara aokote nyasi, aume kucha..., si nyie wa mjini macho makavu utadhani unaongea na njemba nyenzako. Halafu unajuta demu ana umbo bomba, amekula pamba za ukweli..., subiri kauli yake sasa, utazimia. Matusi ya nguoni ni lugha yake ya kawaida. Anatukana kwa kutaja viungo kwa majina yake tena hadharani! Aisee, mi mjini sioi, bora niitwe mshamba. Mjirekebishe bwn, mnaboa!
Duu huu mtitiriko ufanyaa kuutengenezea singo manake imetiririka kama verse vile
 
Upungufu wa sound mwilini!

Wewe tuolee tuletee mjini,turembee,watu tukugongee kiulainiiiiii kama tunanawaaaaa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
......huku mjini tushasahau habari za kutongozwa, ni kumwagiwa pesa tu!!!!!
wasalimie kijijini, ukirudi niletee magimbi.

asante kwa kunijulisha. Kumbe mnajiuza! Hongereni kwa biashara!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom