BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,162
Haya usioe
asante kwa kunijulisha. Kumbe mnajiuza! Hongereni kwa biashara!
Bora nionekane mshamba. Demu wa town sioi mie! Hivi mnajua jamani wanawake wengi wa mjini mmepoteza mvuto wa kuolewa! Sababu nini mnajua? Mmepoteza sifa moja muhimu sana inayomvutia sana mwanaume ukiwa nayo, nayo ni AIBU. Hamna aibu tena. Demu wa kijijini ukimpiga songi anaandika chini kwadole gumba, mara aokote nyasi, aume kucha..., si nyie wa mjini macho makavu utadhani unaongea na njemba nyenzako. Halafu unajuta demu ana umbo bomba, amekula pamba za ukweli..., subiri kauli yake sasa, utazimia. Matusi ya nguoni ni lugha yake ya kawaida. Anatukana kwa kutaja viungo kwa majina yake tena hadharani! Aisee, mi mjini sioi, bora niitwe mshamba. Mjirekebishe bwn, mnaboa!
Thanks dear, nimeipata. Later then!
Na mi nikuflash......
Tatizo lingine pia ni kama hili kwenye thread...mademu wa mjini hapa ujuaji mwingi (mm bahati nzuri nakutana nao kila siku kwenye kazi yangu)..hawataki kusubiri..sio wasikilizaji wazuri...wanajidai wajuaji na mambo ya kuiga kuiga...angalia hata hii thread wanavyoijibu...mana kama mtu imemgusa mtu anatakiwa akae atafakari kwa nini jamaa kaandika ivi ?...mtu mwenye busara anajiuliza je ni kweli...? lakini angalia wanavyojibu....mwingine anajibu tu kwa sasbabu kaona mwenzake amejibu hivyo(Kuiga)....ndo mademu wa mjini hao anaosema jamaa...busara hakuna...!!!
kule kwenye jukwaaa la siasa siku hizi wanaitwa waliberaliMwanaume anayetumia neno " aka" huku kwetu tunamchanganya kwenye lile kundi la " Either".
Sasa kama mtu unakuja na mashairi ambayo hayaeleweki katika kutongoza unadhani utaambulia kitu?
Jipange kijana, kumtongoza mwanamke sio kama kuendesha baiskeli kunahitaji mashairi yaliyoenda shule. Mambo ya sili silali bila kukuona yameshapitwa na wakati. Kwa style hiyo hata huku unapokimbilia kuolea utaambulia patupu.
BTW kama una muda wakutosha njoo kwenye course yangu ya kutongozea upate mashairi yaliyoenda shule sio lupiga blaaa blaaa nyingi huku ukitegemea mtu akung'atie kucha au aandike chini.
Bora nionekane mshamba. Demu wa town sioi mie! Hivi mnajua jamani wanawake wengi wa mjini mmepoteza mvuto wa kuolewa! Sababu nini mnajua? Mmepoteza sifa moja muhimu sana inayomvutia sana mwanaume ukiwa nayo, nayo ni AIBU. Hamna aibu tena. Demu wa kijijini ukimpiga songi anaandika chini kwadole gumba, mara aokote nyasi, aume kucha..., si nyie wa mjini macho makavu utadhani unaongea na njemba nyenzako. Halafu unajuta demu ana umbo bomba, amekula pamba za ukweli..., subiri kauli yake sasa, utazimia. Matusi ya nguoni ni lugha yake ya kawaida. Anatukana kwa kutaja viungo kwa majina yake tena hadharani! Aisee, mi mjini sioi, bora niitwe mshamba. Mjirekebishe bwn, mnaboa!
......huku mjini tushasahau habari za kutongozwa, ni kumwagiwa pesa tu!!!!!
wasalimie kijijini, ukirudi niletee magimbi.
Kwanza unabahati ukizubaa Town mademu wanakutongoza fasta, Angalia usisimame simame ovyo bila kazi maalumu maeneo ya Bar na Guest houses, au kule Oiho street. Hawachelewe kukubaka.Nafuu urudi zako village Town tunapaweza sisi,hatutongozi sikuhizi tunachagua tuu.Bora nionekane mshamba. Demu wa town sioi mie! Hivi mnajua jamani wanawake wengi wa mjini mmepoteza mvuto wa kuolewa! Sababu nini mnajua? Mmepoteza sifa moja muhimu sana inayomvutia sana mwanaume ukiwa nayo, nayo ni AIBU. Hamna aibu tena. Demu wa kijijini ukimpiga songi anaandika chini kwadole gumba, mara aokote nyasi, aume kucha..., si nyie wa mjini macho makavu utadhani unaongea na njemba nyenzako. Halafu unajuta demu ana umbo bomba, amekula pamba za ukweli..., subiri kauli yake sasa, utazimia. Matusi ya nguoni ni lugha yake ya kawaida. Anatukana kwa kutaja viungo kwa majina yake tena hadharani! Aisee, mi mjini sioi, bora niitwe mshamba. Mjirekebishe bwn, mnaboa!
ah busara, busara, what is busara?
nyie wenyewe hekima hamna, Mungu kawapa Madaraka, nyie yamewashinda sasa tukae kusikiliza ujinga wenu wa nini?
We ongea points za msingi, uone kama demu hajakusikiliza.
tatizo lenu mnaongea kihuni mno ndo maana hata na sie tunawapa majibu ya kihuni.
ukija kwa style ya kiutu uzima na ustaarabu, lazima mwanamke nae atakujibu kistaarabu tu labda awe na matatizo yake au stress zake.
nyooooooooo mwone kwanza sura yake
Napata shida kidogo nikijaribu kutafakari mlengo wa Chama chake cha Siasa.Mwanaume anayetumia neno " aka" huku kwetu tunamchanganya kwenye lile kundi la " Either".
Hahahahahahahahahaaa mkuu umeniacha hoi kabisa.Kwanza unabahati ukizubaa Town mademu wanakutongoza fasta, Angalia usisimame simame ovyo bila kazi maalumu maeneo ya Bar na Guest houses, au kule Oiho street. Hawachelewe kukubaka.Nafuu urudi zako village Town tunapaweza sisi,hatutongozi sikuhizi tunachagua tuu.