Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,857
Yes please.........
Kuja kwa PM tufanye logistic....
Yes please.........
......huku mjini tushasahau habari za kutongozwa, ni kumwagiwa pesa tu!!!!!
wasalimie kijijini, ukirudi niletee magimbi.
ah busara, busara, what is busara?
nyie wenyewe hekima hamna, Mungu kawapa Madaraka, nyie yamewashinda sasa tukae kusikiliza ujinga wenu wa nini?
We ongea points za msingi, uone kama demu hajakusikiliza.
tatizo lenu mnaongea kihuni mno ndo maana hata na sie tunawapa majibu ya kihuni
ukija kwa style ya kiutu uzima na ustaarabu, lazima mwanamke nae atakujibu kistaarabu tu labda awe na matatizo yake au stress zake.
nyooooooooo mwone kwanza sura yake
you are being too general labda sample sample space yako inakupa wrong conclusion ndo mana unageneralise hivyo criteria muhimu nadhani education, financially well everything else being constant hao wakuandika chini na dole gumba it's too layman labda sample yako darasa la sabaBora nionekane mshamba. Demu wa town sioi mie! Hivi mnajua jamani wanawake wengi wa mjini mmepoteza mvuto wa kuolewa! Sababu nini mnajua? Mmepoteza sifa moja muhimu sana inayomvutia sana mwanaume ukiwa nayo, nayo ni AIBU. Hamna aibu tena. Demu wa kijijini ukimpiga songi anaandika chini kwadole gumba, mara aokote nyasi, aume kucha..., si nyie wa mjini macho makavu utadhani unaongea na njemba nyenzako. Halafu unajuta demu ana umbo bomba, amekula pamba za ukweli..., subiri kauli yake sasa, utazimia. Matusi ya nguoni ni lugha yake ya kawaida. Anatukana kwa kutaja viungo kwa majina yake tena hadharani! Aisee, mi mjini sioi, bora niitwe mshamba. Mjirekebishe bwn, mnaboa!
Huku watuachie vijana na Forester zetu tunachat nao na Iphone 5 zetu tu na kuwapigia simu kwa Galaxy S4 zetu...hahahahahahaha....nimesema tu hapo hahahahahahaha.....!!!!!we kweli mshamba, kaoe tu shambani!!! Nani wa mjini cku izi utamdanganya sili,silali, sipumui,mapigo ya moyo yamesimama kwa ajili yako??? NENDA TU KATUFUTE HAO WACHORA CHINI!! Town tuachie sisi tu ndo tunawezana nao
you are being too general labda sample sample space yako inakupa wrong conclusion ndo mana unageneralise hivyo criteria muhimu nadhani education, financially well everything else being constant hao wakuandika chini na dole gumba it's too layman labda sample yako darasa la saba
Umesoma lakini nadhani hujanielewa ....na hiyo sura yangu umeiona wapi...!!!??? lakini hayo ndo nanayoongea mwanamke lazima uwe na heshima na ustarabu....lakini kwa malezi yetu ya siku hizi ni wachache wanakuwa na staha na heshima...kama hapo umejibu na kutukana sura yangu...!!! kwani ukujibu kistarabu unapungukiwa nini ???? utaonekana mshamba au..???...? utapata shida sana kuishi na mwanaume anae jitambua kama kweli ndo una tabia kama hiyo....badilika
.....hujiatambui ....ungekua unajitambua usingeandika jinsi unavyo andika.....psychological nahisi utakua na shida flani....nikisoma maandishi yako naona tatizo....jitazame upya tena...utagundua...listen ur -self again and again.....anyway watu tunaokutana huku tuna malezi tofauti ....sishangai sana...!!!hahahhaaa sibadiliki ngo, na wala shida sipati hata siku moja maana mwenyewe najitambuaje!
ukija kijinga utajibiwa kijinga tu, habari ndo hiyo
.....hujiatambui ....ungekua unajitambua usingeandika jinsi unavyo andika.....psychological nahisi utakua na shida flani....nikisoma maandishi yako naona tatizo....jitazame upya tena...utagundua...listen ur -self again and again.....anyway watu tunaokutana huku tuna malezi tofauti ....sishangai sana...!!!
hahahhaaa sibadiliki ngo, na wala shida sipati hata siku moja maana mwenyewe najitambuaje!
ukija kijinga utajibiwa kijinga tu, habari ndo hiyo
ndio maana huolewi, unazeeka tu. Kisa mdomo mchafu!
Bora nionekane mshamba. Demu wa town sioi mie! Hivi mnajua jamani wanawake wengi wa mjini mmepoteza mvuto wa kuolewa! Sababu nini mnajua? Mmepoteza sifa moja muhimu sana inayomvutia sana mwanaume ukiwa nayo, nayo ni AIBU. Hamna aibu tena. Demu wa kijijini ukimpiga songi anaandika chini kwadole gumba, mara aokote nyasi, aume kucha..., si nyie wa mjini macho makavu utadhani unaongea na njemba nyenzako. Halafu unajuta demu ana umbo bomba, amekula pamba za ukweli..., subiri kauli yake sasa, utazimia. Matusi ya nguoni ni lugha yake ya kawaida. Anatukana kwa kutaja viungo kwa majina yake tena hadharani! Aisee, mi mjini sioi, bora niitwe mshamba. Mjirekebishe bwn, mnaboa!
............ujumbe wangu ni ule ule ka ujitathmini....ujiulize upo sawa...?utajibeba bwana kaka!
sina time mie! sijui nina shida sijui sina mie wala hainipi shida hata kidogo
pole yako wewe unayekazana eti kutaka watu wabadilike lol! unajichosha bure kijana
............ujumbe wangu ni ule ule ka ujitathmini....ujiulize upo sawa...?