Mademu wa kishua ni mzigo

Mademu wa kishua ni mzigo

malizana kwanza na huyo binamu yake Joannah uncle Cmorgan kutoka songea huko ndrani ndrani kabisa usije paliwa kweli ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃNachokupendea mtumishi una taarifa zote za waumini wapya,binamu yangu yupo hapa pembeni ananiangalia lakini Leo Mimi nimehamia nifanye mazungumzo na wale mabinamu wanne kutoka Capetown vineyard,sijajua mdogo wangu Lamomy Yuko na anafanya mazungumzo na nani?
 
Nafanya mazungumzo na baba mchungaji atume bill ya hao binamu zetu wanne ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ila mchungaji kuna mtu namfananisha naye ww bado hujahisi kitu?!
 
Mmmh hapana,au ndio MC pilipili kaja kivingine eti Tlaatlaah MC pilipili baada ya kuua kanisa kasema anafanya injili online,je ndiwe?
 
aah ndio nimeona hii saivv na nimeshafika nyumbani aise๐Ÿ’

hivi ni 21kau23x4 nimesahau au ni binadamu wale wakubwa?
 
Mmmh hapana,au ndio MC pilipili kaja kivingine eti Tlaatlaah MC pilipili baada ya kuua kanisa kasema anafanya injili online,je ndiwe?
mama tupo nae kwenye maombi mazito sana ya utulivu hiv sasa,
japo tulimshauri tangu mwanzo sana kwamba hii kulialia machozi ati unapenda sana hii mwanamke publicly not healthier, mambo hugeuka saa zingine...

mwanaume kamili ata kama amepigwa ngumi na makofi na bibi yake huko ndani analia machozi chumbani ilimradi mtu mwingine asione...

Sasa mtumishi huyu alikosea kidogo na kwa Neema na Baraka za Mungu tutarekebisha
 
Neema ya bwana wetu Yesu Kristo,na Rehema na upendo wa baba Mungu,Ukammiminikie ila asafishwe Kwa damu ya Mwanakondoo apate kububujikwa na furaha na amani ya kweli ya Kristo,Ili aachane na Majuto ya pale alipoteleza....Hilo likawe SoMo kwako maana neno linatuasa jiangalie sana wewe ujidhaniaye imesimama usije ukaanguka....jitafakari katika mapito na mienendo yako baba fake Prophet...๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ
 
umeshiba mama inatosha,
kwani mekula nini mama?
mbona umechangamka isivyo kawaida ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Hata na hivyo nimejiskia kuomba pamoja na wew saa hii,

Asanti Yesu kwa kukubali kubeba aibu yangu na ya mama yangu mpendwa sana wa kiroho Joannah na wengine,
nakushukuru kwa kuchukua huzuni na dhambi zangu, asant Yesu kunuhurumia.

Ee Yesu uliedharauliwa na kukataliwa na watu, adhabu ya Amani yetu ilikua juu yako pale msalabani calvary...

mtumishi wako nisiestahili Tlaatlaah saa zingine pia nadharauliwa na kukataliwa, usiniache peke yangu bali niimarishe mimi na watumishi wako wote nisonge mbele kwa Imani bila kuchoka wala kukata Tamaa....
Damu ya Yesu Kristo itufunike sote tunapopumzika saa hii,
Aimen..
 
Amina๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ kwann vuka na chako
Nimechekaaaa
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃSi muoaji anasema nyie mtakuwa mnakesha Kwa maombi Ili kupambana na wanga wa penzi lenu,ndio namwambia sisi tunataka wapwa hayo mambo ya mkesha peleka kawe๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ muoaji Ana mbwembwe huyu
 
Huyo "demu" hamtoki background moja inakua vigumu kuendana nae.
 
Back
Top Bottom