Watanzania wengi kama wewe mna tatizo la kufanya abstract thinkingKituo cha polisi cha wapi mkuu? Unaishi kwa kukariri kuwa kila mtu yupo kwa Bi Mkubwa?
Mimi sina maumivu, naeleza point za msimamo wangu wa kifalsafa.
Watanzania wengi kama wewe mna tatizo la kufanya abstract thinking.
Hamna uwezo mkubwa wa kuelewa hoja ya kifalsafa, hamuelewi abstract thinking.
Mimi nilishapiga kura kwa miguu enzi za utawala wa Mkapa na kutabiri haya yote yatakuja kama mistari ya Nostradamus.
Nakula lasagna kwa umma.
Maumivu yataanzia wapi?
Kwa hiyo hujaona logic hapo?Anasaka umaarufu kwa nguvu kubwa
Again, huwezi kujadili mada in abstract thinking. Badala ya kujadili hoja, inanijadili mimi.Watanzania wengi kama wewe mna tatizo la kufanya abstract thinking
Ulitabiri haya yanayoendelea. Ulifanya nini ili uliyoyatabirivyasije yakatokea?
Je,yalipotokea(maana si leo wala jana),ukafanyaje?
-wao wanaua
-msomi umekimbia na kulalamika,
-wajinga tumekaa na kuangalia gemu.
Pole. Mdogo wako alikua muovu ndo maana.
Badala ya ufurahie kupigwa risasi,unalalamika tu. Je,wananchi wangemchoma moto si ndo ungejinyonga sasa!!
Mwanaume wa kweli hakimbii tatizo,anasimama na kukabiliana nalo. Huku shithole,ndo kwenu. Haki na sheria havipambaniwi mtandaoni, rudi eneo la tukio.Huko Trump alipopaita shithole country mnaona hata kuchomana moto ni sawa tu, chomaneni tu.
Siwakatazi.
Mimi nishamaliza kazi yangu ya kuwaeleza.
Wewe unayetaka shortcut ya kuua watu bila kuwafikisha mahakamani unatatua tatizo au unakimbia tatizo?Mwanaume wa kweli hakimbii tatizo,anasimama na kukabiliana nalo. Huku shithole,ndo kwenu. Haki na sheria havipambaniwi mtandaoni, rudi eneo la tukio.
Na kama haupo eneo la tukio,wewe una uhakika gani kama kilichoandikwa si uongo?