figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,191
- 64,608
baby nisamehe jana na mie ulinikwaza sana......
Usiwe unanikwaza kwenye mambo ya mapenzi. Wajua nakupenda sana so usinifanye nikajinyonga. Mimi nimekusamehe sababu nakupenda. Ukirudia tena nitafanya kama nilivyo fanya X GIRL FRIEND alipo nisaliti. Hata kama hunipendi nidanganye unanipenda coz ukiniambia ukweli ntaumia. Mia
Cc: Lady doctor. Arushaone, Baba V na Mamndenyi. Mia
Last edited by a moderator: