Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
Last edited by a moderator:
Nakumiss sana mpenzi.
:A S kiss::A S kiss::A S kiss:
Wewe ndo kila kitu kwangu hapa duniani. Mimi na wewe sawa na samaki na maji. Mi samaki wewe maji. Uwepo wako unanipa furaha na faraja. Mungu azidi kukubariki mke wangu kipenzi. Heaven on earth. Mia
nimeshaacha na Heaven on earth nshamuomba msamaha kanisamehe. Shetani ananivamia vamia. Mia
My wii Lady doctor waambie wazazi wenu nashukuru sana
kwa zawadi hii ya figganigga,sina cha kuwalipa.....
:love figganigga
My wii saccoss si nzuri!!!Kumbuka na mimi nahitaji vidumu wifi.
Hapana....amekuchagua weweAthubutu.......!
Nami pia swits
Marhabaa... King Mswati, jamani hata mimi nakumiss ujue eeeeh!!!!!!!!!!!!! :tongue:
Kauli yako ni amri kwangu, nimekoma mpenzi!
Shem wala usitie shaka, tumemalizana na yfu Lady doctor na niko naye hapa kitandani.
Kwa hyo my wii Chocs kusema kuwa wahalalisha uhusiano batili wa mgoni wangu Lady doctor na my huz Arushaone?
Haya.
Nitarudi.