The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
naunga mkono hoja!!!!!!
We pambana tu hamna closed hapa
naunga mkono hoja!!!!!!
Ndoa za chitchat sasa naona zimekuwa janga la kitaifa,mi nashukuru mke wangu The secretary kajituliza kama kasuku maana raha ninazompa we acha tu,Eid nampeleka bangkok.
Kaizer yuko kipande ileee anahangaika kudandia safari ya Arabela na hus nitonye na sisi KOKUTONA, Fixed Point na Heaven on earthKesho nitakupigia nikupe mchongo mzima. Afu mwambie mwalimu anasalimiwa na Kaizer
kaah......! Nahisi kulewa kabla hata hujafika, haya ukuje sasta
...waarabu wa pemba eeh wajuana kwa vilemba!!Lady doctor mke wangu mpenzi, nakupenda sana! Acha kuwa na fikra potofu kwa mimi kumkumbuka Madame B, yeye ni mke wa kamanda mwenzangu aitwaye Ben Saanane. Waulize kina Filipo Erickb52 marejesho figganigga na Passion Lady watakudhibitishia.
Ndoa za chitchat sasa naona zimekuwa janga la kitaifa,mi nashukuru mke wangu The secretary kajituliza kama kasuku maana raha ninazompa we acha tu,Eid nampeleka bangkok.
Hao ulio wamention wote waelewa nakubali! Btw nina doubt na uelewa wa Kipipi tu! Out of them
Kaizer yuko kipande ileee anahangaika kudandia safari ya Arabela na hus nitonye na sisi KOKUTONA, Fixed Point na Heaven on earth
Ok...will wait for your flash light
Ni hilo tu, ila siku hizi nimeoa, Lady doctor hupika na kupakua nyumbani kwangu. Ila ki-ukweli nimekumiss my X.
..hapo shem mlambe kisigino mkeo labda atakuelewa!
Humu kuna raia wanakula mizigo kiukweli ukweli we kalia keyboard shtukaaa bro
Heaven on earth utakubali iwe siri?
sawa hii ni SIRI YETU ila nna hamu na huo utamu........