Madame B nimekukumbuka SANA.....!!!

Madame B nimekukumbuka SANA.....!!!

na mie nimemlipizia alivyonifanyia jana,nilimkuta maeneo hatarishi sikukwambia tu........

Nani alikuambia maisha ya ndoa wanalipozana visasi? mimi jana nlitongoza kwa bahati mbaya nikakuomba msamaha. Siku nyingi nakutafutia sababu nakosa, sasa leo umejileta mwenyewe. Baba V njoo unishike nguo kabla sijatoa maamuzi magumu. Mia
 
Last edited by a moderator:
wii kumbe uliona,ila sio kama kaka ako simpendi,nampenda sana tu.......

Ungekua unanipenda ungenivua nguo mbele za watoto?. hata kama nimekukosea ulitakiwa uwena subra hadi ntakapo rudi?. Je umefurahi unavyo nivunjia heshima?. Mamndenyi naomba uje umpe somo mke wangu. Kaota mapembe gafla. Mia
 
Last edited by a moderator:
Jamani, naendelea vizuri.
Muda huu namalizia dripu nirudi nyumbani.
ladyfurahia asante mama.

NAWAPENDA SANA WANA CHITCHAT.
 
Last edited by a moderator:
figganigga mzee wa mia
mkeo tatizo ni wale mashoga zake pale salon
wanamwambia mineno ya urongo,
msamehe tu mia hawezi kurudia tena,
kama vipi mtumie e-mail kwenye mamndenyinakuzimia@yahoo.com

Back
Top Bottom