Madame B nimekukumbuka SANA.....!!!

Madame B nimekukumbuka SANA.....!!!

sasa shem mambo gani tena haya wewe umetuomba uingie kundini mwetu (ukoo) halafu tena unamiss yule wa zamani kulikoni jamani mbona hatukuelewi watushangaza ati?????
Ni hilo tu, ila siku hizi nimeoa, Lady doctor hupika na kupakua nyumbani kwangu. Ila ki-ukweli nimekumiss my X.
 
sasa shem mambo gani tena haya wewe umetuomba uingie kundini mwetu (ukoo) halafu tena unamiss yule wa zamani kulikoni jamani mbona hatukuelewi watushangaza ati?????

Rafiki kwanini mnanielewa vibaya jamani?
 
Back
Top Bottom