La kizushi Arushaone unamla ladydoctor kiukweeee?
Orayt.Mkuu Arushaone
Kwanza kabisa unapaswa kuelewa kuwa ukipata chombo kipya cha zamani tupa. Ikiwezekana uza kana chuma chakavu.
Tamaa tamaa zitakuponza. Tulia na kipenzi chako ( kama kweli ndivyo).
ladydoctor ni mwanamke mwenye sifa za uanamke. Anajua nini mwanaume anataka (Usiniulize nimejuaje).
Madame B kwako ni chuma chakavu.
Mimi sitokuwepo wakati unapewa kichapo....si unajua ukoo wa kina Lady doctor ulivyo mkubwa? Kwanza kuna charminglady, sweetlady, Passion Lady, FirstLady1 ladyfurahia wako wengi wewe....
Hivi nyie mnaona kuwa hizo ndoa ni kutazamana tu kama vile mtu na dada eti eeh.
Mimi sitokuwepo wakati unapewa kichapo....si unajua ukoo wa kina Lady doctor ulivyo mkubwa? Kwanza kuna charminglady, sweetlady, Passion Lady, FirstLady1 ladyfurahia wako wengi wewe....
Aaa wapi.....afanikiwe wapi. Ngoja aendelee kushika pembe
Aisee!
....na my lovely wife Lady doctor. Kwani vipi?
Usiwe unanikwaza kwenye mambo ya mapenzi. Wajua nakupenda sana so usinifanye nikajinyonga. Mimi nimekusamehe sababu nakupenda. Ukirudia tena nitafanya kama nilivyo fanya X GIRL FRIEND alipo nisaliti. Hata kama hunipendi nidanganye unanipenda coz ukiniambia ukweli ntaumia. Mia
Cc: Lady doctor. Arushaone, Baba V na Mamndenyi. Mia
nawe kama wampenda kweli utulie basi, maswala ya kuwakonyeza zilipendwa uwache!
nimeshaacha na Heaven on earth nshamuomba msamaha kanisamehe. Shetani ananivamia vamia. Mia