Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,728
mwambie pia kuwa umempora mke
najua akili zangu nimelithi toka kwako.asante sana kwa kunipongeza
najua akili zangu nimelithi toka kwako.asante sana kwa kunipongeza
Hivi kwanza uliwezaje kujua kwa haraka kiasi hicho kuwa Madame B kapewa BAN.
Last Activity ya Madame B ni jana saa 22:38.
Hii thread yako nawe umeiweka hewani same day, same time, same everything...
#JustCurious
Nimeenda kumsalimia leo asubuhi, amesema hajambo kabisa.
Amesema niwafikishie salama wenzake woote humu CC Na Amesema ANAWAPENDA SANA WANA CHIT CHAT WOOTE.
Pia kasema niwasalimie waume zake woote Ben Saanane, Remote, tedo na Chilli.
Mambo Poa shoga.
Ule uzi ulileta mafanikio nusu.
Wanaume wenyewe wa humu Jf!
Majanga matupu.
kwani aliyakanyaga wapi
hivi kumbe mnafahamiana na madame?
atakuja tu, yule dogo siku hizi anaonekana ana presha
ya kujibu haraka haraka naona kama Bishanga ndo anampa jeuri
acha ajifunze kwanza.