we waona vizuri eeenh!?!?!? mama V anapotafunwa unafurahi eeenht tena na mpwa wako Elli
Hahahaaaaaaa si ningepata tu hio nafasi mara moja tuka-share maujuzi na Mama V?
sema nikuunganishie!!!
sema nikuunganishie!!!
unataka nijaribu sumu kwa kuilamba!!,nikipigwa ban ya maisha je itakuwaje???maneno matupu hayavunji mfupa...hebu jaribu kufanya utukutu upewe BAN halafu utapata jibu
Jomba umezichoka kucha na meno yako???? tena siku hizi hatukupeleki Mabwepande, we sema tu uione ngondo..
Ndo unataka kula hadi sumu kisa umeletewa??? shaurilo, kikinuka hakitamnukia Paloma, ni wewe mwenyeweMpwa mie nazipenda kweli kweli kucha zangu na meno yangu ila mbona mie ni mjumbe tu hapa sina kosa? Mjumbe hauwawi? Sijaiba chA MTU mie ila ndio Paloma anataka kuniletea, je nikatae kula? Hapana.......
wee Paloma wewe, kumbe unataka kunilisha tango pori eeeh, basi Mpwa wangu yaishe bhana ila kweli siku ukiwa umechoka sana mlete nikusaidie free of charge
unataka nijaribu sumu kwa kuilamba!!,nikipigwa ban ya maisha je itakuwaje???
Fanya utukutu mdogo mdogo tu....
Pepo ulilonalo linaitwa Beizebul! Mkuu wa mapepo!
Toka Shetani!!!!!
Kama kweli kachapwa ban itakuwa ni kwa uzi huu, na kama phillip dominick kapona sijui tu!!!
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=466242