madame b.........i told you!

madame b.........i told you!

Aroooo kumbe wewe ndo Shark? Nilikuwa sijui bana!

Kilawalawa unanianza? Umesahau nina misiri yako mingi ya kifisadi !
We hayaa!
Sijui nikusanue! Bt ngoja kwanza niendelee kukuhifazi.
Au ntake razi kabla makatta wangu hajalanduka!
Ohooo!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu kapost utamu wa kuwa na id nyingi vp unazo ngapi wewe? Vp nije nikupitie?

.............
images
ID
 
Ona sasa una ngeu mmeo kiplagati26 kakucharanga mapanga kisa hujui kupika githeri na sukuma wiki (usibishe nimekuona Nairobi hospital muda mfupi uliopita). Si afadhali ungeolewa na Arushaone chalii wa arachuga na muuza dhahabu feki au Chimbuvu anayemiliki tp chimby ok jazz au angalau hata CHAI CHUNGU mrina asali wa urambo au ingeshindikana kabisa ungebanana na Ben Saanane waziri mkuu mtarajiwa wa TZ. Pole sana mama asiyesikia la mkuu ( na nasikia keshakutundika na mimba utakimbilia wapi). gfsonwin na King'asti wahini kenya mkam rescue mwenzenu anadundwa ka ngoma ya mchiriku.
Kwa kukupoza Madame B ngoja niku dedicate haka kamwimbo ka kwenye 1960's kaliimbwa na bendi moja ya Kenya.
Musa nimevumilia sana,
Ngumi zako za kila siku,
Kweli Musa uliponioa,
Sura yangu,
Haikuwa na alama,
Hata moja.
Nilinona,
Kama ngoima
Ya kericho.
Hahahahahaha!
Nimecheka mpaka mpaka basi lol!
 
Last edited by a moderator:
Sanua, kama kweli we kijeba!

Sasa Kipipi mbona sikuelewi? Ama "keroro at works?"
Kule kwenye Pm umenitahadharisha nisikusanue!
Huku pabliki unajifanya m'baramaki? (ayan-ledi)
Nway ngoja tu nikusare!
Usije nipiga shonde bure.
Mi nna kifua ujue?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom