madame b.........i told you!

madame b.........i told you!

Mkuu CHAI CHUNGU hivi ilikuwaje ukaachana na mrembo wa haja kama Madame B?
Mapene mkuu.
Yani uchumi ulisheki kidogo,si unajua demu mwenyewe pesa mbele sound nyuma?ila nsharekebisha tayari,maana ata gari nshabadilisha,sasa hivi na drive RANGE ROVER EVOQUE!
Alafu kama tutaludiana nae basi ataendesha freelander2 soon!
 
Last edited by a moderator:

Ukitaka nirudiane na wewe fanya yafuatayo:
1. Nifungulie Unisex Saloon na Duka la Jumla.
2. Kaniletee mbwa wa kijerumani.
3. Leta ATM kadi yako iwe inakaa kwenye pochi langu la kazini.

Hapoi ndio kidogo nitakufikiria.
 
No.3??????????
 
Madame B msuto wake uanze jtatu
ndo utanoga kwa kuwa kila mtu anakuwa na hasira
ya kumaliza pesa kwenye wikiendi.

Poa poa mamito.
hebu chagua na khanga ya kumvesha kabisa.

9k=
9k=
images
images
images
images
images
images
 
Back
Top Bottom