madame b.........i told you!

madame b.........i told you!

Alokwambia sosoliso babu nani? Yeye ni mtoto mbiiichi hata maji asema mma! Wewe ndo babu! endelea kuchezewa sharubu hzo!
Umemlisha limbwata? Maskini sosoliso hajijui hajitambui......na dedicate hii nyimbo kwa sosoliso:
Babu jinga inama ufikiri,
Mali yako inaliwa,
Mali yako inaliwa,
Sos: mdundiko
 
Last edited by a moderator:
kumbe anapenda helaaa daaah sasa siangesema kama wasiwasi wake upo kwenye hilo i can her needs bro.

Alikwambia kwa ishara wewe tu ndo hukuelewa Remote hukumbuki Madame B akikwambia vijineno kama hivi...'jamani darling Remote nai miss Dubai siku nyingi sijaenda'...au 'mpenzi pale Virago namanga vimeingia viatu vizuri' kwani akisema hivyo wewe ulikuwa unamwelewaje?
 
Last edited by a moderator:
Alokwambia sosoliso babu nani? Yeye ni mtoto mbiiichi hata maji asema mma! Wewe ndo babu! endelea kuchezewa sharubu hzo!

Ni kaserengeti boy sio? We ndo unakalea? Aisee!
 
Namshangaa , ilhali nimemuona Shark kaongozana na Paloma wanaingia Kavukavu guest house yeye amelala tu...

Baba V...............hata wewe!!!!!!! mwenyekiti ya kamati!!!
kweli inabidi uvuliwe cheo!!!
kuanzia sasa naanzisha petition ili uondolowe!
hufai hufai gaidi wa ndoa wewe!!!
 
Last edited by a moderator:
Baba V...............hata wewe!!!!!!! mwenyekiti ya kamati!!!
kweli inabidi uvuliwe cheo!!!
kuanzia sasa naanzisha petition ili uondolowe!
hufai hufai gaidi wa ndoa wewe!!!

Wewewe.... kwani uongo, tena nilivyouliza nikaambiwa "ni sikukuu ya wajinga, hatufanyi kweli"
 
Last edited by a moderator:
Namshangaa , ilhali nimemuona Shark kaongozana na Paloma wanaingia Kavukavu guest house yeye amelala tu...

Mwenyekiti Baba V.. naona umeamua kutengeneza majungu kwa raia wako sasa.. na hapo hapo unawasololea wake na wapenzi wa raia wako..
Naomba ujiuzulu cheo chako mara moja.. vinginevyo nitaandaa maandamano ya kukung'oa kwenye hicho kimeza chako..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom