madame b.........i told you!

madame b.........i told you!

Hawakuwezi wewe matawi ya juu Madame B unatembelea kitu ambacho hakuna awezaye kukimiliki na unakaa kwenye jumba ambalo hawawezi kuota hata kuweka mguu ndani
Waambie waje na cheque ya dollar kadhaa wakukabidhi ndo utoke nao out

Asante sana kaka..................

9k=

Anakusalimia shemeji yako Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Namuokoaje mazee! ? Mimba ntamreskyuje? Afu kuna fununu zisizo rasmi kwamba ana katoto kanakonyonya kifuani, asa si ndy itakua bemendonization?

Shemeji halafu nina kesi na wewe.
kwa nini kila siku ni kipigo kwa mdogo wangu YNNAH?
Ushamgeuza ngoma eeee
Endelea sasa uone timbwili la Asha Ngedere na Mwajuma Ndalandefu
 
Last edited by a moderator:
Ooooohhhhh Mpenzi wangu jamani,................... Nilikumisi sana.

Huku nitonye ananitongoza na Bishanga ananiambiaeti nirudiane na mdogo wake Ruttashobolwa.
Nilikumiss sana Madame B. Nilipokua katika dhoruba ulinituliza,ulikua nanga yangu

Wanadhani wewe ni chakaramu.

CC: nitonye-Tuheshimiane

CC: Bishanga-Umeacha kuwa Broker wa hisa unaingilia fani ya kuwa pimp.Umeniangusha sana

CC: Ruttashobolwa-Maji yakimwagika hayazoleki.Dumisha amani na utulivu....
 
yaani ni hapo tu unaponiachaga hoi Mwandani wangu.
Yaani wewe kupata dhoruba kidogo tu,.........washaanza kutupa nyavu zao kwangu.

afu kuna mwingine anajiita Remote nae ananimendea.
Anakusalimia shemeji yako Mr Rocky.
images
 
Last edited by a moderator:
Ben Saanane mpe salam zangu bana na mwambie Mr Rocky wa kuanzia kule Darhot wire ni yule yule

Ha ha ha haa kaka nakupata Mr Rocky a.k.a ....A..X

Weekend nakuja na shemeji yako Madame B mtoto wa Kitanga.Kusoma galanos kulifungua ukurasa mpya wa maisaha yangu,huyu ndiye yule binti niliyewaambia nilikutana nae Raskazone
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haa kaka nakupata Mr Rocky a.k.a ....A..X

Weekend nakuja na shemeji yako Madame B mtoto wa Kitanga.Kusoma galanos kulifungua ukurasa mpya wa maisaha yangu,huyu ndiye yule binti niliyewaambia nilikutana nae Raskazone

karibu sana mkuu Ben Saanane
tuliongea mengi sana Darhotwire mkuu na ndo maana nakukumbuka sana
KAribu sana na shemeji huku bana Madame B mje mupate raha ya baridi la huku
 
Last edited by a moderator:
Ooooohhhhh Mpenzi wangu jamani,................... Nilikumisi sana.Huku nitonye ananitongoza na Bishanga ananiambiaeti nirudiane na mdogo wake Ruttashobolwa.
Acha uwoga ben mwenyewe alikuwa amekumbatiwa na mke wa mtu akaambulia kichapo ni habari zilizo chini ya kapeti. Njoo kipenzi changu toto la ukweli
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haa kaka nakupata Mr Rocky a.k.a ....A..XWeekend nakuja na shemeji yako Madame B mtoto wa Kitanga.Kusoma galanos kulifungua ukurasa mpya wa maisaha yangu,huyu ndiye yule binti niliyewaambia nilikutana nae Raskazone
Si umwambie ukweli kilichotokea kwenye fumanizi lako?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haa kaka nakupata Mr Rocky a.k.a ....A..X

Weekend nakuja na shemeji yako Madame B mtoto wa Kitanga.Kusoma galanos kulifungua ukurasa mpya wa maisaha yangu,huyu ndiye yule binti niliyewaambia nilikutana nae Raskazone

Ndie mimi Haswaaaaaa................
Basi huyo ni kaka yangu Pure........hajachakachuliwa wala nini.
Tena Ben Saanane mpenzi tukodo ndege binafsi.

Tena itabidi nitupie kile kivazi ulichoninunulia Paris juzi Pasaka na kile kiatu mpenzi wangu
Z
images
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom