madame b.........i told you!

madame b.........i told you!

Mie na Pacha wangu........... tutakutoa knock out
Ile seat yako ndani ya moyo wangu bado ipo,ebu rudi mpenzi bado nakupenda.

Mie sijui kupiga ngumu,hasira zangu zote huwa zinaisha pindi ntakapo kukabidhi ATM card yangu na kisha kukuta umechota vi 'M' kadhaa lol!
 
yaani ni hapo tu unaponiachaga hoi Mwandani wangu.Yaani wewe kupata dhoruba kidogo tu,.........washaanza kutupa nyavu zao kwangu.afu kuna mwingine anajiita Remote nae ananimendea.Anakusalimia shemeji yako Mr Rocky.
images
mie roho "kuniuma" ile mbaya...Ila ntafanya nini? Najuuuuta kukufahamu, huzuni hii na kushtakiwa kusingekuwepo.Bt naamini one day YES.
 
Last edited by a moderator:
Mnajisumbua bure haka kajamaa kameanza kusutwa since 1988!
Ni kazoefu, wkt flani kalishawahi sutwa na Mama Malsa vikwete (mama Rizi) tena kwenye ndege (Emirate) itakua nyie? mnakasutia chini ?
Hamkawezi !

Zinduna kam pliz huyu Judgement anaomba doze ya msuto!
 
Last edited by a moderator:
Kilawalawa unanianza? Umesahau nina misiri yako mingi ya kifisadi !
We hayaa!
Sijui nikusanue! Bt ngoja kwanza niendelee kukuhifazi.
Au ntake razi kabla makatta wangu hajalanduka!
Ohooo!
Acha kumtisha dadangu
 
Ile seat yako ndani ya moyo wangu bado ipo,ebu rudi mpenzi bado nakupenda.

Mie sijui kupiga ngumu,hasira zangu zote huwa zinaisha pindi ntakapo kukabidhi ATM card yangu na kisha kukuta umechota vi 'M' kadhaa lol!

Come on Madame B zali la mentali hilo linakudondokea! Wahi mchuma!
 
Last edited by a moderator:
mie roho "kuniuma" ile mbaya...Ila ntafanya nini? Najuuuuta kukufahamu, huzuni hii na kushtakiwa kusingekuwepo.Bt naamini one day YES.

Unafahamu stori ya fisi na mkono wa mwanamke? Alifuata nyuma weeeeeeee akidhani utadondoka....---
 
Back
Top Bottom