Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,609
Mamndenyi umeniacha hoi huu msuto siyo wa kawaida hadi umekuwa kivutio cha watalii kweli kiboko! Ni muhimu wizara ya majungu na utamaduni hika andaa misuto mingi ili tuweze kupata pesa za kigeni!
msuto huu hadi wathungu wapo
![]()
Last edited by a moderator: