Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Ona sasa una ngeu mmeo kiplagati26 kakucharanga mapanga kisa hujui kupika githeri na sukuma wiki (usibishe nimekuona Nairobi hospital muda mfupi uliopita). Si afadhali ungeolewa na Arushaone chalii wa arachuga na muuza dhahabu feki au Chimbuvu anayemiliki tp chimby ok jazz au angalau hata CHAI CHUNGU mrina asali wa urambo au ingeshindikana kabisa ungebanana na Ben Saanane waziri mkuu mtarajiwa wa TZ. Pole sana mama asiyesikia la mkuu ( na nasikia keshakutundika na mimba utakimbilia wapi). gfsonwin na King'asti wahini kenya mkam rescue mwenzenu anadundwa ka ngoma ya mchiriku.
Kwa kukupoza Madame B ngoja niku dedicate haka kamwimbo ka kwenye 1960's kaliimbwa na bendi moja ya Kenya.
Musa nimevumilia sana,
Ngumi zako za kila siku,
Kweli Musa uliponioa,
Sura yangu,
Haikuwa na alama,
Hata moja.
Nilinona,
Kama ngoima
Ya kericho.
Kwa kukupoza Madame B ngoja niku dedicate haka kamwimbo ka kwenye 1960's kaliimbwa na bendi moja ya Kenya.
Musa nimevumilia sana,
Ngumi zako za kila siku,
Kweli Musa uliponioa,
Sura yangu,
Haikuwa na alama,
Hata moja.
Nilinona,
Kama ngoima
Ya kericho.
Last edited by a moderator: