cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 86,998
- 139,677
Tobaaaaaaah hadi maiti? LolNaona kuna watu wamekuja juu kama moto wa kifuu kusema madaktari wasichafuliwe...jamani kama Padre/shekhe anabaka au kukawiti who is daktari??? Nayeye ni binadamu na hayo mambo yapo na wanayafanya japo si wote,.Sasa wale wanaofanya ngono na maiti mochuari si ni kaliba hiyohiyo.??