Hata hivyo siyo kila daktari anataka kula mgonjwa,na baadhi yao wako selective,akiona wewe hujamvutia kiviilee,procedures zote zitafanyika akiwepo nesi au mr. wako.
Just imagine mtoto wa form two au three,amekuja kwa daktari akadai anao ujauzito,na daktari aka-confirm,hivyo mtoto anataka kuitoa,na daktari anamtaka,kwanini asimwambie kua ATANUE njia kwa sex?
Wengine hapa mnatetea tu,ila mnajua jinsi madaktari wanavyowafanya wanawake maofisini.
Mimi kwa macho yangu,nimeenda pharmacy ya hospitali moja hivi,taa ilikua imezimwa na mwanachuo yumo mle ndani na mfamasia,nataka kufungua mlango,nikaambiwa ningoje,na ilikua usiku,dada amekaa humo ndani kama dakika 45,ndiyo taa ikawashwa,wakatoka wote mle ndani,kuja kuulizia kwa wazoefu,nikaambiwa alikua anafanya ufuska mle.
Hata hivyo,wadada wanaliwa sana,na wanajua,rejea tukio la hospitali ya Magunga,Korogwe,sikumbuki mwaka,daktari alimruhusu mke wa jamaa,aingie ndani,akaanza kumfanyia matusi,mume akazunguka dirishani,akashuhudia,akapiga kelele,sijui iliishia wapi.Ila wanaliwa sana.
Ukienda vijijini,hao ma CO,zahanati ndiyo loji za kuaminika.