Madaktari wanavyowafanya wake zenu

simon2016

JF-Expert Member
Oct 19, 2020
593
1,669
Habari ndugu zangu udaktari ni kazi ngumu sana na inahitaji moyo kuifanya ninawapongeza waliofanikisha na wanaofanya mpaka sasa maana kuna muda inatia stress sana hivyo huwa nao kuna muda huchoka. Licha ya hayo katika madaktari kuna ambao wana jiheshimu na wanao yapeleka mambo wajuavyo bila heshima na kufuata ethics za udaktari.

Kuna matukio mengi sana ya madaktari kutembea na wake za watu ( hapa naongelea madaktari wa kiume na hasa upande wa uzazi) bila mume kujua na kuelewa kwa kweli ukiachana na swala la wadada kujipendekeza wao wenyewe ila hata hawa watu hutumia nafasi zao kuwarubuni.

Mfano kuna mmoja ya binti jirani yangu aliwahi patwa na tatizo la uzazi hivyo alilazimika kwenda kusafishwa kizazi baada ya maelezo mafupi kuhusu hali yake kilichotokea ni kwamba daktari alimwambia kaa kitandani kama ilivyotaratibu kilichofuata akaambiwa toa nguo akatoa zilizo sehemu ya siri akafanya hatua za mwanzo "akamwongopea yule dada kwamba haiwezikani kusafisha njia mpaka kulainishwe basi dada akakubali basi wakati anasubili mara bwana mkubwa anataka kuweka rungu dada akastuka akakataa " kwa kweli hii habari imenisikitisha sana.

Pili kuna wake za watu wanawekewa vikwazo mpaka waweze kushiriki tendo na wataalamu wetu licha ya hilo kuna wale wakipewa huduma kwa sababu wamewachungulia basi madaktari hutumia nafasi hizo kuwatafuta na kuwatafuna.

Lengo langu je kwa nini? Madktari wakike hawafanyi hizi kazi kwa kulinda heshima na kuepuka unyanyasaji wa kisaikolojia kwa mwanamke ? Hata kama ni wachache lakini kwa nini kusiwe na jitihada ili kupunguza hili janga.

Je, haya mambo yapo kwa kiasi gani? Kama unajua sema kidogo juu ya hili na sisi kama jamii hili swala ni sawa?

Je, kuna kuna sheria za kulinda haki ya mgonjwa kati ya daktari (haswa wakiume kwa wakike na kivipi wakati wanakua wawili tu), (daktari wa kike kwa wakiume tusemezane pia kama ipo) ikiwa imebainika kuna unyanyasaji?

Malalamiko yako mengi nimetoa mifano kidogo ili kuelewesha wapi nalenga ila hapa nataka tujadili kwa upana hili swala hivyo nakarbisha mawazo yenu kwa uliyosikia na kushuhudia ili kuona namna ya kulikabili hili tatizo.

Mungu awalinde madaktari wawe na moyo mwema wa kujituma bila tamaa bila kwenda nje ya kanuni zao.

Amina.
 
Huenda hijui unachokielezea kwa ufasaha! Ni ngumu mno kwa daktari kumuingilia mwanamke anayehitaji kufanyiwa dnc au kusafishwa kizazi kwani hadi afikie kupewa huduma hiyo basi mfumo wake wote wa uzazi utakuwa una tatizo kubwa na huenda unatoa harufu mbaya kiasi kwamba daktari au yeyote hatokuwa na wazo la kumuingilia.

Poa mteja anaweza kuwa kwenye maumivu makali ya sehemu hizo kiasi kwamba hatoweza kuhimili kuongezewa maumivu mengine! Tuwaheshimu na kuhemimu tasnia ya udaktari na acha kuwavuruga na kuwachafua! Ukiona vipi mkeo na bintiyo usiwapeleke hospitali Baki nao nyumbani.
 
Miaka ya nyuma nilikua nakaa na bro wangu daktari..sasa nilikua nimelala chumbani baada ya kusoma sana, kushtuka usingizin nikaskia kuna maongezi yanaendelea kati ya bro na mwanamke. Nikajifanya nimelala siskii ila kiufupi yule mwanamke ni wa pale mtaani maana nilichungulia dirishani wakati anaondoka nikamuona.

Alikuwa kaja kumuomba bro ushauri kwamba alibakwa na daktari na akaelezea kwamba alikua anaona kila kitu kinachoendelea japo hakua na nguvu yoyote so sabab nilikuta maongezi katikati nikaelewa alipewa dawa kumlegeza.

Akasema anamsongo wa mawazo mno na alikaa zaidi ya wiki yupo kimya ila akashindwa ikabidi aje kuongea na bro maana hata mmewake alikua hajamwambia bado.

Ni story ndefu ila kiukweli haya mambo yapo na victims wanakua na wakati mgumu kusema. Unaweza itafuta makala flani ya kenya ya jicho pevu kuna daktari aliwekewa mtego wa camera ofisin kwake mtaona alivyokua anawala wagonjwa wanawake. Hata tabora mwaka jana ishu kama hii iliripotiwa
 
😏😏😶😶😑😑😐😐😌😌😮😣😥😫😒☹😲🙃😟😞😖🙁😞😔😕😌😮🤐😯😫☹😒😢🙁😞
 
Wanaliwa sana hasa wanaotoa mimba wanakuwaga watamu halafu hawana hela!
Ukimtisha tu kwamba mimba yako kuitoa ni ngumu, ongeza pesa, au leta mzigo lazima atoe!
Akigoma sana unamtandika sindano ya ganzi unamtia kwanza ndo unakuja kumfrash mimba yake!
Wanaotoa mimba ni wazuri sana kutunza siri!
Wanalika sana! Kwanza huwa wamepaniki pili hutaka iwe siri! USIPOWALA HAKIKA WEWE JOGOO HAPANDI MTUNGI
 
Back
Top Bottom