Madaktari wanavyowafanya wake zenu

Habari ndugu zangu udaktari ni kazi ngumu sana na inahitaji moyo kuifanya ninawapongeza waliofanikisha na wanaofanya mpaka sasa maana kuna muda inatia stress sana hivyo huwa nao kuna muda huchoka. Licha ya hayo katika madaktari kuna ambao wana jiheshimu na wanao yapeleka mambo wajuavyo bila heshima na kufuata ethics za udaktari.

Kuna matukio mengi sana ya madaktari kutembea na wake za watu ( hapa naongelea madaktari wa kiume na hasa upande wa uzazi) bila mume kujua na kuelewa kwa kweli ukiachana na swala la wadada kujipendekeza wao wenyewe ila hata hawa watu hutumia nafasi zao kuwarubuni.

Mfano kuna mmoja ya binti jirani yangu aliwahi patwa na tatizo la uzazi hivyo alilazimika kwenda kusafishwa kizazi baada ya maelezo mafupi kuhusu hali yake kilichotokea ni kwamba daktari alimwambia kaa kitandani kama ilivyotaratibu kilichofuata akaambiwa toa nguo akatoa zilizo sehemu ya siri akafanya hatua za mwanzo "akamwongopea yule dada kwamba haiwezikani kusafisha njia mpaka kulainishwe basi dada akakubali basi wakati anasubili mara bwana mkubwa anataka kuweka rungu dada akastuka akakataa " kwa kweli hii habari imenisikitisha sana.

Pili kuna wake za watu wanawekewa vikwazo mpaka waweze kushiriki tendo na wataalamu wetu licha ya hilo kuna wale wakipewa huduma kwa sababu wamewachungulia basi madaktari hutumia nafasi hizo kuwatafuta na kuwatafuna.

Lengo langu je kwa nini? Madktari wakike hawafanyi hizi kazi kwa kulinda heshima na kuepuka unyanyasaji wa kisaikolojia kwa mwanamke ? Hata kama ni wachache lakini kwa nini kusiwe na jitihada ili kupunguza hili janga.

Je, haya mambo yapo kwa kiasi gani? Kama unajua sema kidogo juu ya hili na sisi kama jamii hili swala ni sawa?

Je, kuna kuna sheria za kulinda haki ya mgonjwa kati ya daktari (haswa wakiume kwa wakike na kivipi wakati wanakua wawili tu), (daktari wa kike kwa wakiume tusemezane pia kama ipo) ikiwa imebainika kuna unyanyasaji?

Malalamiko yako mengi nimetoa mifano kidogo ili kuelewesha wapi nalenga ila hapa nataka tujadili kwa upana hili swala hivyo nakarbisha mawazo yenu kwa uliyosikia na kushuhudia ili kuona namna ya kulikabili hili tatizo.

Mungu awalinde madaktari wawe na moyo mwema wa kujituma bila tamaa bila kwenda nje ya kanuni zao.

Amina.
Lakini hao hao wanawake ndio wanakuambia wanapenda sana wahudumiwe na dokita mwanaume
 
Hzo ni rare kesi Sana, Ila KWA nature ya hospital mtu kwenda kujifungua labour au kusafishwa ubakwe ngumu Sana maana kusafishwa ni procedures lazima udungwe mashindano, plus ma nurse kila corner ngumu jamani. Kwanza ni marufuku dr wakiume kuhudumia mwanamke ka kusafisha bila nurse wa kike na huo ndo muongozo
Una akili mingi sana.
 
Mwongo mkubwa weeee
Mwaka 2017 nilifanya kazi Kahama. Paliibuka kesi moja ya mdada alikuwa anahangaikia tatizo la uzazi (mimba zilikuwa zinaharibika). Alikuwa na mme wake wote hapo hospitali, mdada aliingia kwa dakatari (ilikuwa sio mara ya kwanza), daktari huyo alikuwa ndie anamshughulikia matibabu yake. Siku ya tukio mme aliambiwa ampishe daktari afanye kazi (amtibu mgonjwa ). Daktari alimbadilikia mgonjwa, alimtaka...Dakatari akatimiza kusudi lake la kufanya ngono.

Baada ya matibabu, mdada hakuwa na furaha, mme akamuuliza mkewe nini kimetokea, mke akashindwa kumwambia mmewe. walipofika nyumbani, mdada alienda kwa mama mkwe kuelezea tukio. Mama mkwe akasara, akambeba mtoto wake (mme wa yule dada), pamoja na mkamwana. Walienda kwa mganga mkuu kushitaki, dakatari aliitwa na kukiri. Kesi ilivoisha ni majanga, dakatar alimbeba daktari mwenzake ili isiharibikiwe kazi.

Mleta mada msimtukane. Sio madaktari wote. Kuna kisa alinisimulia mdada mwingine. Alienda kutibiwa malaria tu, lakini cha ajabu aliambiwa avue nguo hadi za ndani, dakatari akamwambia mgonjwa kuwa ana tatizo lingine ambalo mgonjwa halijuwi. Baada ya hapo daktari akaanza kama kumchunguza mgonjwa sehemu za siri (kumbuka yuko uchi wa mnyama). Zoezi la kuchunguza likabadilika ikawa kuchezewa ili amuibue yule mgonjwa. Baada ya mgonjwa kujua lengo la daktari akainuka na kuvaa (sina hakika kama aliinuka, maana hata kama daktari alifanya, yule dada asingeniambia hilo).
 
Kuna mdada flani ni best yangu,na amenizoea na huwa ni muwaz Sana kwangu.kunasiku alienda hosp alikuwa anasumbuliwa na tumbo la kizaz,so alipoenda akaingia kwa dr. baada ya kujieleza Dr akamwambia kaa hapo ujisisimue uke,hadi utoe majimaji nichukue hayo maji kwa ajili ya vipimo.
 
Habari ndugu zangu udaktari ni kazi ngumu sana na inahitaji moyo kuifanya ninawapongeza waliofanikisha na wanaofanya mpaka sasa maana kuna muda inatia stress sana hivyo huwa nao kuna muda huchoka. Licha ya hayo katika madaktari kuna ambao wana jiheshimu na wanao yapeleka mambo wajuavyo bila heshima na kufuata ethics za udaktari.

Kuna matukio mengi sana ya madaktari kutembea na wake za watu ( hapa naongelea madaktari wa kiume na hasa upande wa uzazi) bila mume kujua na kuelewa kwa kweli ukiachana na swala la wadada kujipendekeza wao wenyewe ila hata hawa watu hutumia nafasi zao kuwarubuni.

Mfano kuna mmoja ya binti jirani yangu aliwahi patwa na tatizo la uzazi hivyo alilazimika kwenda kusafishwa kizazi baada ya maelezo mafupi kuhusu hali yake kilichotokea ni kwamba daktari alimwambia kaa kitandani kama ilivyotaratibu kilichofuata akaambiwa toa nguo akatoa zilizo sehemu ya siri akafanya hatua za mwanzo "akamwongopea yule dada kwamba haiwezikani kusafisha njia mpaka kulainishwe basi dada akakubali basi wakati anasubili mara bwana mkubwa anataka kuweka rungu dada akastuka akakataa " kwa kweli hii habari imenisikitisha sana.

Pili kuna wake za watu wanawekewa vikwazo mpaka waweze kushiriki tendo na wataalamu wetu licha ya hilo kuna wale wakipewa huduma kwa sababu wamewachungulia basi madaktari hutumia nafasi hizo kuwatafuta na kuwatafuna.

Lengo langu je kwa nini? Madktari wakike hawafanyi hizi kazi kwa kulinda heshima na kuepuka unyanyasaji wa kisaikolojia kwa mwanamke ? Hata kama ni wachache lakini kwa nini kusiwe na jitihada ili kupunguza hili janga.

Je, haya mambo yapo kwa kiasi gani? Kama unajua sema kidogo juu ya hili na sisi kama jamii hili swala ni sawa?

Je, kuna kuna sheria za kulinda haki ya mgonjwa kati ya daktari (haswa wakiume kwa wakike na kivipi wakati wanakua wawili tu), (daktari wa kike kwa wakiume tusemezane pia kama ipo) ikiwa imebainika kuna unyanyasaji?

Malalamiko yako mengi nimetoa mifano kidogo ili kuelewesha wapi nalenga ila hapa nataka tujadili kwa upana hili swala hivyo nakarbisha mawazo yenu kwa uliyosikia na kushuhudia ili kuona namna ya kulikabili hili tatizo.

Mungu awalinde madaktari wawe na moyo mwema wa kujituma bila tamaa bila kwenda nje ya kanuni zao.

Amina.
Kusingizia ni dhambi mbaya sana !
 
Miaka ya nyuma nilikua nakaa na bro wangu daktari..sasa nilikua nimelala chumbani baada ya kusoma sana, kushtuka usingizin nikaskia kuna maongezi yanaendelea kati ya bro na mwanamke. Nikajifanya nimelala siskii ila kiufupi yule mwanamke ni wa pale mtaani maana nilichungulia dirishani wakati anaondoka nikamuona.

Alikuwa kaja kumuomba bro ushauri kwamba alibakwa na daktari na akaelezea kwamba alikua anaona kila kitu kinachoendelea japo hakua na nguvu yoyote so sabab nilikuta maongezi katikati nikaelewa alipewa dawa kumlegeza.

Akasema anamsongo wa mawazo mno na alikaa zaidi ya wiki yupo kimya ila akashindwa ikabidi aje kuongea na bro maana hata mmewake alikua hajamwambia bado.

Ni story ndefu ila kiukweli haya mambo yapo na victims wanakua na wakati mgumu kusema. Unaweza itafuta makala flani ya kenya ya jicho pevu kuna daktari aliwekewa mtego wa camera ofisin kwake mtaona alivyokua anawala wagonjwa wanawake. Hata tabora mwaka jana ishu kama hii iliripotiwa
Au wanatafsiri mbuzi hula urefu wa kamba yake🙄
 
Hiyo niliona na hzo ni rare kesi ambazo hutokea tena KWA kujiiba Ila huduma ikitolewa lazima Kuna wasaidizi Hadi watatu, na pia hospital kubwa binafsi Zina camera kila corner so ni difficult. Hafu k zamtu kujifungua au kusafishwa hazitamanishi hata wallah. Labda mtu akishapona waendeleze huko nje.
Wewe ni mbishi saana, na inaonekana umekulia mjini! Sio kote kunakuwa na wahudimu wengi, sehemu nyingine ni shidaa na wahudumu ni wachache
 
Ninavyojua mimi daktari wa kiume hatakiwi kumfanyia mwanamke procedure bila uwepo wa nurse mwanamke au hata kumfanyia vipimo ambayo vinahusisha sehemu za siri au zinazoonyesha maungo ya mwanamke ni lazima nurse awepo ....i stand to be corrected

Nilikua naatend kwa daktari mmoja wakati nipo mjamzito , kila wakati ikifika kwenye kupima mapigo ya moyo ya mtoto kama sijaenda na Mr, anamwita nurse kwanza halafu baada ya hapo ndio ananiambia panda kitandani pandisha gauni
Hata hivyo siyo kila daktari anataka kula mgonjwa,na baadhi yao wako selective,akiona wewe hujamvutia kiviilee,procedures zote zitafanyika akiwepo nesi au mr. wako.
Just imagine mtoto wa form two au three,amekuja kwa daktari akadai anao ujauzito,na daktari aka-confirm,hivyo mtoto anataka kuitoa,na daktari anamtaka,kwanini asimwambie kua ATANUE njia kwa sex?
Wengine hapa mnatetea tu,ila mnajua jinsi madaktari wanavyowafanya wanawake maofisini.
Mimi kwa macho yangu,nimeenda pharmacy ya hospitali moja hivi,taa ilikua imezimwa na mwanachuo yumo mle ndani na mfamasia,nataka kufungua mlango,nikaambiwa ningoje,na ilikua usiku,dada amekaa humo ndani kama dakika 45,ndiyo taa ikawashwa,wakatoka wote mle ndani,kuja kuulizia kwa wazoefu,nikaambiwa alikua anafanya ufuska mle.
Hata hivyo,wadada wanaliwa sana,na wanajua,rejea tukio la hospitali ya Magunga,Korogwe,sikumbuki mwaka,daktari alimruhusu mke wa jamaa,aingie ndani,akaanza kumfanyia matusi,mume akazunguka dirishani,akashuhudia,akapiga kelele,sijui iliishia wapi.Ila wanaliwa sana.
Ukienda vijijini,hao ma CO,zahanati ndiyo loji za kuaminika.
 
Habari ndugu zangu udaktari ni kazi ngumu sana na inahitaji moyo kuifanya ninawapongeza waliofanikisha na wanaofanya mpaka sasa maana kuna muda inatia stress sana hivyo huwa nao kuna muda huchoka. Licha ya hayo katika madaktari kuna ambao wana jiheshimu na wanao yapeleka mambo wajuavyo bila heshima na kufuata ethics za udaktari.

Kuna matukio mengi sana ya madaktari kutembea na wake za watu ( hapa naongelea madaktari wa kiume na hasa upande wa uzazi) bila mume kujua na kuelewa kwa kweli ukiachana na swala la wadada kujipendekeza wao wenyewe ila hata hawa watu hutumia nafasi zao kuwarubuni.

Mfano kuna mmoja ya binti jirani yangu aliwahi patwa na tatizo la uzazi hivyo alilazimika kwenda kusafishwa kizazi baada ya maelezo mafupi kuhusu hali yake kilichotokea ni kwamba daktari alimwambia kaa kitandani kama ilivyotaratibu kilichofuata akaambiwa toa nguo akatoa zilizo sehemu ya siri akafanya hatua za mwanzo "akamwongopea yule dada kwamba haiwezikani kusafisha njia mpaka kulainishwe basi dada akakubali basi wakati anasubili mara bwana mkubwa anataka kuweka rungu dada akastuka akakataa " kwa kweli hii habari imenisikitisha sana.

Pili kuna wake za watu wanawekewa vikwazo mpaka waweze kushiriki tendo na wataalamu wetu licha ya hilo kuna wale wakipewa huduma kwa sababu wamewachungulia basi madaktari hutumia nafasi hizo kuwatafuta na kuwatafuna.

Lengo langu je kwa nini? Madktari wakike hawafanyi hizi kazi kwa kulinda heshima na kuepuka unyanyasaji wa kisaikolojia kwa mwanamke ? Hata kama ni wachache lakini kwa nini kusiwe na jitihada ili kupunguza hili janga.

Je, haya mambo yapo kwa kiasi gani? Kama unajua sema kidogo juu ya hili na sisi kama jamii hili swala ni sawa?

Je, kuna kuna sheria za kulinda haki ya mgonjwa kati ya daktari (haswa wakiume kwa wakike na kivipi wakati wanakua wawili tu), (daktari wa kike kwa wakiume tusemezane pia kama ipo) ikiwa imebainika kuna unyanyasaji?

Malalamiko yako mengi nimetoa mifano kidogo ili kuelewesha wapi nalenga ila hapa nataka tujadili kwa upana hili swala hivyo nakarbisha mawazo yenu kwa uliyosikia na kushuhudia ili kuona namna ya kulikabili hili tatizo.

Mungu awalinde madaktari wawe na moyo mwema wa kujituma bila tamaa bila kwenda nje ya kanuni zao.

Amina.

Hao watakuwa Madaktari wanaofanya kazi kwenye hospital zinazoendeshwa kihuni ,sidhani kama ukienda Aghakhan ,marie stope au Kitengule wakufanyie hivyo.
 
Mie ilikuwa operation wakati naandaliwa kulikuwa na dr na ma nurse kibao, bila kusahau wanafunzi wa intern so hyo kubakwa ni ngumu Sana maana ma Dr wako busy mno na ku save watu aisee,nyege ni baada ya kazi imagine my gynologist jinsi Wana rundo la wagonjwa kusubiria huduma. Hafu theatre kubwa vitanda vingi na operation nyingi Sasa mtu ana bakaje hapo
Nataka nikuambie watu wanachapa kama kawa...ngoja kwnza nikuambie madokta wana mbinu nyingi...anaweza akachapa kabla ya kuwaita hao manes au baada ya mgonjwa kupona ni jambo laini sana kwa madokta .....nakuambia ni madokta wachache sana wanaofata ethics lkn wengi wanashindwa na ukiangalia na wanawake wenyewe wa sasa walivyoumbika mtu anashindwa kbs ila sio madokta wote ni baadhi tu.
 
Back
Top Bottom