Madaktari wamponda Kibonde kupitia mtandao wa FB

Madaktari wanatakiwa kuwa na maadili ya kutojadili magonjwa ya wagonjwa wao.

Napata tabu kuamini madaktari wameandika habari hizi.

Au maadili ya madaktari wetu yameshuka hivi?

Sidhani km kuna mahali imethibitika aliyeandika haya ni Daktari.

Kiukweli manesi na madaktari hawapaswi kuzungumzia mambo ya wateja wao hadharani na kwa watu wasiohusika
 
Hivi Doctors wanachaguliwa kwa pass gani kusomea fani yao mpaka washindwe kumjibu Kibonde? na muandishi wa habari kama Kibonde anatakiwa awe na pass ipi? baada ya hapo utajua nani ni cream
Swali langu ni kwanini wana mu attack tena personal attack kwa huo uzi? hapo ndio ninaanza kuwa na wasiwasi wa nani ni cream mkuu.
 
Madaktari wanatakiwa kuwa na maadili ya kutojadili magonjwa ya wagonjwa wao.

Napata tabu kuamini madaktari wameandika habari hizi.

Au maadili ya madaktari wetu yameshuka hivi?
mwandish alianza kwa kuvunja maadili yake
 
Swali langu ni kwanini wana mu attack tena personal attack kwa huo uzi? hapo ndio ninaanza kuwa na wasiwasi wa nani ni cream mkuu.

Mkuu unashindwaje kujua 10 na 2 ipi ni ndogo? unafurahisha kwa kiwango cha PHD
 
Back
Top Bottom