Madaktari wamponda Kibonde kupitia mtandao wa FB

Hivi mtu anapata wapi ujasiri wa kumuamini daktari wa kitanzania? Inasikitisha sana.

Nchi za watu, hiyo facebook ingenukishwa na tungewajua madaktari wa aina hii ili tuwaogope kama ukoma. Hata kama Kibs alikuwa mbaya kiasi gani. Akiingia hospitali kama mgonjwa, ana haki takatifu na yanayoendelea hakuna anayetakiwa kujua. Watanzania tuko watu wabaya sana.
 
Mnasema magonjwa ya wenzenu utadhani nyie mmejihakikishia afya njema kwa 100%
Umeona eeh, yaani watanzania tumekuwa watu washenzi kabisa. Hatuna jema na wala hatujui kujengana. Kila kukicha ni kubomoana tu. Labda bora Jiwe apige ban tu ya mitandao. Maana kuna watoto wadogo tena wasio na hatia, wenye marafiki huko mashuleni. Nao watasoma yaandikwayo na watu wazima, watumie kuwanyanyapaa. Kama mzazi inauma sana.
 
hii movie nimeangalia 2007 4 the 1st time,....hapo tunatoroka kwenda kwenye vibanda vya mia mia, maana home mmh full cd za nyimbo za dini

Jambazi Mathias, mzee wa mamba!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, asee mbn 2007 karibu sana Rafiki ,nimetazama hy kwenye miaka ya 97+ tena kwa VHS [ deck za zamani zile ] mkanda unaazima library enzi hizo ,yes adui Mathias

MTC | 101|
 
Sugu ndyo alipoimba kuwa kibonde anatukana sana watu radioni na kilicho mbele haoini!!

wakati ukuta.
 
Back
Top Bottom