Madaktari wamponda Kibonde kupitia mtandao wa FB

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
KAULI YA MADAKTARI KWA KIBONDE (imenyofolewa toka mtandao wa facebook)
54.jpg

ephraimu kibonde hii ndiyo shukrani yako kwa madr Nakumbuka sana mwaka 2007 , ukiwa hoi bin taabani wewe na mkeo namna madaktari walikuwa wanakuhudumia kwa huruma bila kukata tamaa! wakati we na mkeo mkiwa mmekata tamaa kabisa ya kuishi lakini madaktari wale walipigana kufa kuokoa maisha yako kimwili na kisaikolojia!

wakati huo ulikuwa huwezi hata kutembea ukiwa umenyonyoka hadi nywele, tena siku moja daktari mmoja alisaidia kukubeba kutoka juu kukupandisha kitandani huku ukitoa udenda kwa udhoofu, daktari yule hakujali hali hiyo mbaya uliyokuwa nayo kwani alikubeba bila hata kuvaa gloves wakati nesi aliyekuwa anakuhudumia alipokuwa akihangaika kutafuta gloves ili aweze kukubeba, unajua ni kiasi gani daktari yule alirisk maisha yake ?? ungeweza kumuambukiza ugonjwa wako lakini alisahau hilo kwa huruma yake na kukuhudumia kwa roho moja. jitihada hizo hatimae ziliza matunda na maisha yako yaliokolewa!!

sasa wewe kibonde ni fadhila gani kubwa sana au ni kiasi gani cha pesa ulichopewa na serikali hadi kusahau wema wa madaktari na kuweza kukaa na kuropoka ropoka ovyo hapo redioni?? wewe kweli kibonde ofall the people ni wa kuwatukana madaktari tena hadharani?? au umeshaahidiwa kutibiwa india maisha yako yote?? wewe na familia yako?? kumbuka kuwawewe essentially we na mkeo bado ni wagonjwa na bado maisha yenu yako mikononi mwa madr! Hivi next time utakapoenda clinic pale.......... utaweza kumtizama dr wako usoni?? Kibonde wewe kweli of all the people ?? mteja wa kudumu wa madr wa kila mwezi where the hell did u get the guts??

KIBONDE DOMO NA NJAA VITAKUPONZA
 
Huyu jamaa simendi sana sana....Yan huwa namwona km kilaza kabisa na aamini ni kilaza yan kichwani mwake hana uelekeo.....
 
Huyu jamaa
( kibonde) ni Mse***ng kwel ana mambo ya kijinga anapenda sana kuropoaka na kanapenda ktjifanya kenyewe ndo kasemaji ka kila jambo. Sio siri anaboa sana huy mwehu afadhar wamemchana.
 
small valley hana jipya zaidi ya kutukana hovyo kwenye radio ya wafu, hivi sijui hata mshipa wa aibu huna au ndo ulianza kutoka mig... badala ya kich...a??????
yani huna adabu>?????????
embu jifunze bana japo uwe nawewe mtu kati ya watu,hyo ccmagamba itakuua wew, majasusi wale, ohooo
 
alishindwa kuzuia hisia zake kua yeye simba dam,kwa kudai simba na yanga hawawezi kugawana tiketi nusu jwa nusu kwenye mechi ya simba na setif
 
Huyu Kibonde na mkeo eti ni wateja wa kudumu wa madoctor? Mnahudhuria clinic? Je mnawauzia dawa? Wagonjwa? We Kibonde hebu jitokeze ujibu hoja! Ni kweli ulikua hoi bin taaban pale Muhimbili?
 
huyu jamaa anaboaga sana then anachoongeaga ni pumba tupu...ajirekebishe na kauli zake coz anakoelekea ni kubaya zaid sifa anazozipata kutoka kwa wachache zitakuja kumcost.
 
Hv karbuni tu alitoroka Milembe na wanamtafuta ile mbaya coz alikuwa hajapona bado! Ewe kibo,hima rudi Milembe bwana ugonjwa ucje zidi watu kuwasumbua! Mwone kichwa chake,lipolipo tu utafikiri limzoga fulani hvi! Hvi ulizaliwa na nani?
 
Kuna kipindi aliwatukana wanafunzi wa UDSM kuwa bum wanalopewa eti wanakula pombe tu zinazowafanya wagome. Madent ilikua nusura wakamchome ndani ya nyumba yake pale ubungo karibu na mabibo hostel.
 
KAULI YA MADAKTARI KWA KIBONDE (imenyofolewa toka mtandao wa facebook)
54.jpg

ephraimu kibonde hii ndiyo shukrani yako kwa madr Nakumbuka sana mwaka 2007 , ukiwa hoi bin taabani wewe na mkeo namna madaktari walikuwa wanakuhudumia kwa huruma bila kukata tamaa! wakati we na mkeo mkiwa mmekata tamaa kabisa ya kuishi lakini madaktari wale walipigana kufa kuokoa maisha yako kimwili na kisaikolojia!

wakati huo ulikuwa huwezi hata kutembea ukiwa umenyonyoka hadi nywele, tena siku moja daktari mmoja alisaidia kukubeba kutoka juu kukupandisha kitandani huku ukitoa udenda kwa udhoofu, daktari yule hakujali hali hiyo mbaya uliyokuwa nayo kwani alikubeba bila hata kuvaa gloves wakati nesi aliyekuwa anakuhudumia alipokuwa akihangaika kutafuta gloves ili aweze kukubeba, unajua ni kiasi gani daktari yule alirisk maisha yake ?? ungeweza kumuambukiza ugonjwa wako lakini alisahau hilo kwa huruma yake na kukuhudumia kwa roho moja. jitihada hizo hatimae ziliza matunda na maisha yako yaliokolewa!!

sasa wewe kibonde ni fadhila gani kubwa sana au ni kiasi gani cha pesa ulichopewa na serikali hadi kusahau wema wa madaktari na kuweza kukaa na kuropoka ropoka ovyo hapo redioni?? wewe kweli kibonde ofall the people ni wa kuwatukana madaktari tena hadharani?? au umeshaahidiwa kutibiwa india maisha yako yote?? wewe na familia yako?? kumbuka kuwawewe essentially we na mkeo bado ni wagonjwa na bado maisha yenu yako mikononi mwa madr! Hivi next time utakapoenda clinic pale.......... utaweza kumtizama dr wako usoni?? Kibonde wewe kweli of all the people ?? mteja wa kudumu wa madr wa kila mwezi where the hell did u get the guts??

KIBONDE DOMO NA NJAA VITAKUPONZA

Mbona vishamponza siku nyingi
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom