Madaktari bingwa Muhimbili kuanza mgomo kimapinduzi Jumatatu

shykwanza

Senior Member
Nov 28, 2011
156
30
Madakatri Bingwa katika hospitali ya taifa Muhimbili wamefanya kikao cha dharura kujadilli hutuba ya Bwana Mponda na kukubaliana kuanza mgomo kupinga taarifa iliyotolewa na serikali Bungeni.

Mgomo huo umetangwazwa kutokuwa na kikomo hadi pale Rais Kikwete atakapoa tamko rasimi la Serikali yake ikiwa ni pamoja na Bwana Mponda kuwaomba rodhi Madaktari na Watanzania wote juu ya upotoshaji alioutoa bungeni kuwa Mgomo umememalizika na hakuna athari kubwa zilizojitokeza katika mahospitali n sasa huduma zinaendelea kama kawaida.

Aidha katika taarifa yao ambayo itatolewa baadae na Dr Ulimboka inaomba kada nyingine za Afya na zisizo za Afya kama Walimu kuunga Mkono Mgomo huo mkubwa na wakimapinduzi

Source MHN

Time is not your best friend JK and ur Team plz take care, Watanzania tumechoka

Du!
Ng'ombe wa Masikini hazai!

Its now the poor citizens against the world!

Nina mashaka huwa Mawaziri na Waandamizi wengine wa serikali wanapoapishwa wanapelekwa kwenye chumba fulani pale Ikulu, ili kula yamini, na wanachokiona huko huwa ni siri yao, na ndio maana Rais naye hawezi kuwatimua kamwe, maana wameona kinachoendelea!
 
Ingekuwa China Mponda angekuwa keshanyongwa, nadhani hata JK tungeshamsahau, where r u Ocampo?
 
Mponda kasema kile alichotumwa na boss wake, alaaniwe boss wake kama hata mng'oa kwenye hiyo nafasi ya upendeleo aliyo mzawadia.
 
Steven Ulimboka has gathered sufficient media attention over the past two weeks enough for him to contest any political position. The guy has shwredly exploited the doctors' strike to magnify his popularity and he can not ask for more.
 
jamani huyu mponda kweli ni binadamu au muaji , anapotosha jamii bila aibu , mimi niko muhimbili jamani siyo siri hari ni mbaya sana. natamani hata hospitari ifungwe, muhimbili ni hospitari ya taifa lakini imekuwa kama nyumba ya kupanga , hakuna madactari , wagonjwa wachache sana kama wapangaji wa nyumba, harafu kama anasema hakuna madhara kwanini alipeleka wanajeshi, jamani huyu jama naona bora achie ngazi , na pia asiendele kuongea ongea,maana atasababisha janga kubwa sana
 
Doctors still have enough cards handy to play.
Season One ndo inaanza, ilipita ilikuwa prologue.
 
"Najua tutapata changamoto kidogo, lakini mimi naona heri tupambane na changamoto hizo, kuliko..............." Mwisho wa kunukuu.
 
Steven Ulimboka has gathered sufficient media attention over the past two weeks enough for him to contest any political position. The guy has shwredly exploited the doctors' strike to magnify his popularity and he can not ask for more.

He gained fame then, but this time it's with style....and yes all doctors are with him all the way, minister's explanation at the parliament was to expose him, a non doctor leading a doctors strike....so the strike will be meaningful if only angekuwa daktari???

Sijui kwanini hakuzungumzia Swala la wao kuombwa kujiuzulu.....
 
Steven Ulimboka has gathered sufficient media attention over the past two weeks enough for him to contest any political position. The guy has shwredly exploited the doctors' strike to magnify his popularity and he can not ask for more.

Welcome back mkuu toka kifungoni,nilikutafuta sana kipindi cha msiba wa dada yetu Regia hadi nilipo google nikakuta uko Banned
 
Steven Ulimboka has gathered sufficient media attention over the past two weeks enough for him to contest any political position. The guy has shwredly exploited the doctors' strike to magnify his popularity and he can not ask for more.
I dont think if there is any correlation between popularity vs politica position, you may not that Rev Mtikila is one of the most popular politician yet he has failed to get any political postion worth mentioning
 
Back
Top Bottom