Madaktari bingwa Muhimbili kuanza mgomo kimapinduzi Jumatatu

Mponda ni #$%^&(*&^%$#$%^&*(zake).... he this everyone is a fool

sijui katokea wapi yule kenge
 
Jamani mimi nipo kcmc, hali ni mbaya sana, interns wote wanaendelea na mgomo, na madaktari wakazi(residents) nao wamewaunga mkono tangu juzi. Nilishangaa sana bwana mponda alipolidanganya bunge na uma wa watanzania leo bungeni,huyu jamaa anafikiria kwa kutumia masaburi. Halafu it looks like vyombo vya habari vimenunuliwa na serikali maana havitangazi halu mbaya ya hospitali za rufaa za kcmc na bugando. Chukulia star tv kwa mfano, iko mwanza lakini haijawahi kutangaza hali mbaya ya bugando kutokana na mgomo. Je kuficha ukweli ndo suluhisho? Madaktari bingwa kcmc wameelemewa na wamesema j3 watashindwa kuendelea na kazi. Tusubiri tuone.
 
Kaaaaazi kwelikweli, Taifa la Wapumbavu huongozwa Kipumbavu, You are F*^^%ed, oh! NO We ARE!!!!!

nakubaliane nawe kabisa Tunaongozwa kipunguani kama matokeo ya wapiga kura punguani ! walaaniwe waliomuwezesha JK kushinda , walaniwe wezi wote wa kura waliomwezesha JK kushinda , walaaniwe waliomshauri JK kugombea ! wametuleta Janga katika Taifa !!! aibu , aibu , aibu
 
Wana Jf!Hivi mlitarajia kitu tofauti. Kama TBC wanasema bila hofu kwamba kuna mgomo baadhi ya Madaktari sasa huyo Waziri sorry Shekhe Mponda angesema nini. Nilikwisha waambia hakuna haja ya kufanya diplomacy the right tool is to start Occupy Magogoni but most of you think I am crazy. Coverage ya Mgomo haipewi priority but only back page. Yule mpumbavu Marin Hassan anamhoji kichaa mmoja kuhusu hesabu za kuzidisha na asiwaite Madaktari kuelezea yanayojiri mahospitalini this is rubbish. Wajameni tuwaunge mkono Madaktari tugome wote. Narudia tuache mchezo kwani ni kazi mbaya. Give me my AK45 uone nitakavyotesa I mean it.
 
Wakuu wa kazi, binafsi naishauri serikali ifanye mafikilio katika kada nyingine pia kwani hii imekuwa too much mazingira ya kazi ni magumu kuliko ilivyo kawida. Sekta ya Afya ni nyeti pia hata elimu ambayo waalimu wamekuwa wajasiliamali katika katitka kuuza vishet na maandazi ili hali siku ziende.
Madakatri Bingwa katika hospitali ya taifa Muhimbili wamefanya kikao cha dharura kujadilli hutuba ya Bwana Mponda na kukubaliana kuanza mgomo kupinga taarifa iliyotolewa na serikali Bungeni.

Mgomo huo umetangwazwa kutokuwa na kikomo hadi pale Rais Kikwete atakapoa tamko rasimi la Serikali yake ikiwa ni pamoja na Bwana Mponda kuwaomba rodhi Madaktari na Watanzania wote juu ya upotoshaji alioutoa bungeni kuwa Mgomo umememalizika na hakuna athari kubwa zilizojitokeza katika mahospitali n sasa huduma zinaendelea kama kawaida.

Aidha katika taarifa yao ambayo itatolewa baadae na Dr Ulimboka inaomba kada nyingine za Afya na zisizo za Afya kama Walimu kuunga Mkono Mgomo huo mkubwa na wakimapinduzi

Source MHN
Time is not your best friend JK and ur Team plz take care, Watanzania tumechoka

 
Kwa jinsi serikali ilivyonesha kiburi wala hakuna atakayeshangaa hawa madaktari wakiingia mtaani. Nani alimwandalia Waziri Mponda ile speech aliyotoa bungeni? Mgomo umeisha? wapi? Au anaongelea Apolllo? Jamani hebu angaliane kama Apollo walikuwa na mgomo maana waziri haeleweki.
 
Ndo viongozi tulio nao,mkulu wa kaya kimya,MUNGU TUNUSURU SISI MASKINI BABA!!
 
Mponda ni #$%^&(*&^%$#$%^&*(zake).... he this everyone is a fool

sijui katokea wapi yule kenge

Ametomea Tanzania hii MTM. Nisichojua ni ana sifa gani za kuweza kupewa wizara ili aiongoze. Tulipo sasa hivi watu hawaangaliwi kwa uwezo walionao. Wanaangaliwa kwa namna tofauti sana na vile uongozi unavyotaka.
Yaani mambo yanavyoenda utafikiri FAT ya Ndolanga na Rage! Ni full chaos kwa kwenda mbele!
 
He gained fame then, but this time it's with style....and yes all doctors are with him all the way, minister's explanation at the parliament was to expose him, a non doctor leading a doctors strike....so the strike will be meaningful if only angekuwa daktari???

Sijui kwanini hakuzungumzia Swala la wao kuombwa kujiuzulu.....


Anyway what the minister is doing is propaganda But does it make sense to you someone who is not a doctor to be trusted by doctors to speak for them anyway we are not going to argue whether the guy is a Dr or not because they want to diverge our attention this a hoax completely and we wont fall i their trap this easily Dr Ulimboka is Doctor with extraordinary intelligence
He the imbecile a.ka mponda is not dr an he will never be and if u watched the parliament session when he was making such low lame allegations to the public by now u know of what calibre this guy mponda is......
 
Harafu nawashanga serikali wanapokwepa kuongelea mapungufu ya vifaa vya kutendea kazi, upungu wa baadhi ya dawa,upungufu wa vitatanda, na mengine wanaongelea mshahara tu, kwani maadai ya madactari ni mshahara tu ,madai ni mengi .
 
kinachowasibu madakitari ni sawa na kile kinachowasibu wafanyakazi wengine, tofauti ni utashi katika kutetea haki.
 
Back
Top Bottom