Kwa mtu asiyekusikiliza vizuri anaweza kuona vitu unavyoongea vinamashiko lakini nakuhakikishia unajichanganya sana ndugu yangu.
Wewe sio mchambuzi mzuri wa siasa ila ni msemaji wa chama cha mapinduzi. Jifunze kwa wachambuzi wa siasa kama Prof Kitila na Dr Bana. Wenzako wako dyanamics licha ya kuwa na vyama vyao saa nyingine kwenye ukweli wanasema ukweli hata kama ni ukweli mchungu kwa vyama vyao.
Sasa wewe umekazania Magufuli yuko sawa ata nyumba zilivyouzwa haikua kosa lake si asingeshiriki basi angejiuzuru.
Polepole punguza mahaba unakua unaboa
Kabla ya kuteuliwa kuwa mmoja wa makamishna wa Tume ya mabadiliko ya Katiba kuwakilisha vijana, Polepole kwa muda mrefu amekuwa akiongoza NGOs zinazolenga kusaidia vijana ikiwemo TANZANIA YOUTH COALITION (TYC) yenye ofisi zilizochoka pale Kijitonyama.
Katika kipindi cha utawala wa Mzee Mwinyi na Mkapa NGOs zake zilipatiwa fedha nyingi sana kuendeleza vijana. Baada ya impact ya fedha zao kutooneka donors wengi wakakata misaada ndipo akaubikia ktk Tume.
Hivyo vijana wa Tanzania wanalalamika kuwa hawana fursa,ajira n.k mmoja wa watu wanaotakiwa kutoa majibu ni Pole pole kwa sababu kwa miaka 20 amekuwa akipatiwa misaada na wafadhili ya kuendeleza vijana chini ya MKUKUTA. Hivyo hivi sasa anajaribu kujijengea kukubalika upya kupitia Katiba na Ukawa.
Nimemsikiliza polepoole, anahangaikia tuzo kama za viti maalumu hivyo Kazi aifanyayo anafanya kwa bidii ila jamii ya Tanzania sasa ni tofauti sana na ile ya miaka iliyopita hatima yake Aibu kubwa Kwa polepole
Pole pole ana MORAL AUTHORITY ya kuzungumzia tuhima zozote wala watuhumiwa wowote kwa sababu yeye pia ni mtuhumiwa wa ufisadi wa mabilioni yaliyotolewa na wafadhili mbali mbali kwa NGOs alizoanzisha na kuziongoza wakati wa utawala ws Mzee Mwinyi na Mkapa chini ya mpango wa MKUKUTA. Badala yake kwanza anatakiwa kuueleza umma kiasi cha fedha alizopewa na idadi ya vijana aliowaendeleza na kuwatoa katika umasikini. Aeleze pia ni kwanini wafadhili ikiwemo DANIDA walizisitishia misasda NGOs zake?Nimekuwa nikimsikiliza ndugu Humphrey kwa muda mwingi tangu aanze kuchambua siasa.lakini cha ajabu zaidi anamwingelea mhe.lowassa kuwa si mwadilifu je.chama anachotoka yeye polepole tangu lini kikawa kisafi mbona hasemi haya?
1.Mwenyekiti wa chama chake aliongoza bunge la katiba kuikanyaga katiba ya warioba kwa kutoa maelekezo kwa BMK je nani msafi CCM?
2.Magufuli alipiga kura ya NDIO kama lowassa kwenye katiba pendekezwa je.lini magufuli kawa msafi? mwadilifu? shem on u.
3.Uko CCM chama ambacho kinamsema lowassa ni kapi huku kikimpitisha Endrew chenge kutetea jimbo la bariadi magharibi na prof.Tibaijuka kule mureba!!! shem on u polepole.
4.Unajipa madaraka ya kuchambua nani msafi na mchafu huku unalelewa na chama kichafu nani akuelewe?
5.Unatoa povu kupinga katiba pendekezwa huku waliojitoa kuwaunga mkono na lowassa akiwemo leo hawafai unataka mabadiliko gani wewe dogo janja?
Lowassa kakili na kujitoa wewe umeufyata kila siku unalialia kwenye media katiba! katiba! lini magufuli alimtetea warioba? chama chako kimemvua nguo jaji warioba tukiwa tunaona leo hii nani tutamsikiliza kutoka ccm? wote wasaka tonge HATUKUTAKI.....SHAME ON U!
Cham Bee nchi inunuliwe mara ngapi?? wasio wananchi ndiyo walioshikilia njia kuu za uchumi wakifaidi rasilimali za nchi na wananchi hawanufaiki na chochote bali wanaonufaika ni wachache wakizidi kuwazuga walio wengi. Wananchi ni raia daraja la tatu japo nchi ni yao. Nchi kila kitu mpaka vijiti vya kuchokorea meno baada ya kula vinaagizwa kutoka nje bado haijanunuliwa tu?!!. Tuache masihara tunahitaji kuundoa mfumo kwa kwenda kupiga kura bila kuacha siku ya 25 Oktoba 2015."Kama ccm wasingekuwa makini nchi ingenunuliwa mapema tu"Humphrey Polepili..
Polepe hana MORAL AUTHORITY ya kuzungumzia tuhuma zozote wala watuhumiwa wowote kwa sababu yeye pia ni mtuhumiwa wa utafunaji fedha zilizotolewa na wafadhili chini ya mpango wa MKUKUTA kuendeleza na kuwaondolea umaskini vijana kupitia NGOs zake mbali mbali ikiwemo TANZANIA YOUTH COALITION ( TYC).Kweli mtangazaji
alikuwa anambeba mtatiro
Polepole yuko vizuri
nikweli kapwaya na hana hoja za msingi.
polepole leo alipwaya sana kwenye kipindi hasa kwa kumsafisha magufuli kwa tuhuma zake za kuuza nyumba na ufisadi kwenye tanroads..