Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Julius Mtatiro anajielewa sana...anasema mabadiliko wanayoyataka watanzania ni kwamba wametoka wapi na wanakwenda wapi
 
Jamani kwani huyu bwana anapoongea kama mwakilishi wa tume ya mabadiliko ya katiba ni sahihi au la!
Je anamaanisha nini kuwa walokatwa na ccm hawakufaa. Mi nina kiu ya kujua zaidi ni kwa nini walokatwa wakiwemo nilowachagua kama VP na jamaa anayepokea mshahara wa kodi zetu kama PM na wale mawaziri wengine ni nini hasa walichopiga mpaka wakaonekana hawafai
 
kesha jichinja huyo. ccm yake haina nafasi kwenye mioyo ya wapiga kura wake
 
mtatiro na rejea za polepole saf mtatiro umeonesha wewe unajua kutengeza hoja safi sana
 
Jamani kuweni makini ili tupate mambo mazuri kutoka kwa hawa watu ni muhimu sana. tusikashifu chukuwa yaliomazuri.
 
tuweke masirah ya vyama pemben pole pole wa moto, hakamatiki. matatiro anasema et anadhan hana fact kwa kwel pole pole yupo vzr mtatro mwenyewe kaapreciate
 
Tatizo la polepole ninaloliona hana jipya kila swali akiulizwa anarejea katiba yake na wazee wake. Kaulizwa swali kuhusu mabadiliko halafu anaanza kuwachanganya wananchi na maoni ya wananchi kwenye katiba sasa tuko kwenye uchaguzi hatuko kwenye katiba...!!! Na anajifanya mjuaji sana anaende nje ya mada sana...!!!
 
Huyo polepole anamzyngumzia mtu aliyeipinga katiba,
Vipi chama kilichoipinga rasimu yao?
Leo anawpigia debe watie rais?
SEMA HAPANA KWA KILA KIONGOZI TOKA CCM
 
Huyu polepole sio mchambuzi, Siku zote mchambuzi hapendi Debate bali mchambuzi husimamia Truth
 
Polepole na ujuaji wake anashindwa kuelewa kuwa system inakuwa created na waendesha serikali na waendesha serikali ni chama sasa tukitaka kuchange system ni lazima sasa uchange chama yamemshinda kuyaelewa
 
"Kama ccm wasingekuwa makini nchi ingenunuliwa mapema tu"Humphrey Polepili..
 
Leo kwa mara ingine huyu dogo ameonyesha kuwa si chochote wala lolote.

Nadhani hata huyu mtangazaji hatomwalika kwakuwa ameshajidhihirisha kuwa huyu dogo ni mzigo
 
Back
Top Bottom