Big up kwa brother Mtatiro. Polepole kinachomsaidia ni sauti tu ya kuongea lakini hana hoja zenye mashiko. Bila shaka polepole umetumwa na unachuki binafsi na Lowasa. Ila kaa ukijua Lowasa ndiye Rais, huyo Magufuli hawezipata Urais,hatuna imani na CCM tena. Tunataka mageuzi kama ulivyosema lakini ccm hana nia ya dhati ya kutupa hayo mageuzi kwa kuvikataa hivyo vitu ulivyoviainisha kwenye katiba ya warioba.
Mbona huwa mnapenda kusema ametumwa? Kumbe mtu ukisema ukweli unaambiwa umetumwa duh tutafika kweli?
Jadili hoja zake badala ya kwenda personal na kumjadili mtoa hoja kwa lengo la kujaribu kuzishut down hoja zake!Wasiomjua huyu HP huwa wanafikiri ni mtu genius saaana na muadilifu saaaana lakini wanaomjua wanasema ana makashfa ya kula pesa na infact ashawahi pata hata grant ya kujiongezea elimu na still aliitafuna na shule hakwenda! Halafu form 6 si alipataga 0 huyu!
Tatizo la jamaa ni opportunist sana otherwise angeweza kuwa mweledi sana kwenye mambo ya social development, social change.Huyu ni watu wa calibre ya akina Nape, Makonda yuko tayari kujitoa ufahamu as long as pesa inaingia kwake!
Polepole anachanganya sana watu.
Kwanza aelewe ametambulika kuwa ni moja wa maadui.
Pili yeye ni mwanaharakati za kuwandeleza vijana iweje leo awe mchamabuzi wa mambo ya kisiasa?
Channel 10 watafute watu wengine wafanye majadiliano ambayo hayatamshirikisha Polepole kwababu haelewi anachokiongea isipokuwa kuendeleza chuki binafsi.
Kwa mfano kwenye moja ya ingizo zake katika mtandao wa Twitter anasema yeye angeeleza dhana ya mabadiliko na dhana ya mageuzi na kwamba he(Lowasa) can't bring transformation.
Sijawahi kuona mtu anaetumiwa kiasi hiki.
Polepole leo kaaibika. Ukinunuliwa unapoteza consistency. Nampuuza kuanzia leo