Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Kwa Mujibu wa Polepole, waziri mkuu ndio anatakiwa kubeba Lawama na sio Waziri wa kawaida, kwa maana nyingine ni kwamba hakuna Waziri wa kawaida ambae amewahi kufanya makosa
Hapo ndipo ninapomshangaa huyu jamaa. Ame-side kwa Magufuli hadi anakera
 
Jamani huku umeme ulikatwa nilikua nafatilia tu kupitia humu.

juzi kati alitoa amri ccm kikate mafisadi wa escrow mtatiro ajamkumbushia hilo?
 
El'son

Chama cha MAPINDUZI wanatamka mapinduzi ila hawajui tofauti ya Revolution na overthrow..mapinduzi ya ccm ni overthrow na si revolution. Polepole hajui kwamba mapinduzi na ni aina mojawapo (njia za kuyafikia matokeo tofauti) ya mabadiliko...polepole hakuwa anajua nini anasema.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya hoja yake ya Ufisadi kubolewa akakimbilia lazima tupate Rais anayeweza kudhibitiwa!!!

Kwa Mfano na Mungu atuepushilie mbali Magufuli akiwa Rais pia anaenda kuwa Mwenyekiti wa CCM

Ilhali Mh Edward Lowassa akiwa Rais anakuwa ni mwanachama wa kawaida Chadema!!!
 
Albert the king kambeba Mtatiro... hilo wengi tumeliona..
Mtatiro hakuongelea kabisa kujiuzulu kwa bosi wake Lipumba..unafiki mtupu..
 
Hapo ndipo ninapomshangaa huyu jamaa. Ame-side kwa Magufuli hadi anakera
Mtatizo kaua vibaya kasema kaanzisha tuhuma za magufuli ktk right moment..CCM wanajituma sijui kusign sijui mkataba wa maadili etc ila kampeni zikianza magufuli atalia sana.CCM bora wangeachana na huu upuuzi wa kujifanya ufisadi ndio guzo zao.Hawa akian polepole watakimbizwa mitaani km kuku kwa kwuatia kichefuchefu raia.Wanadhani hii amani ipo kwa sababua wanaongea majungu?ahajona maCCM yakipigana hapo kupotezana fahamnu.
 
Kumuokoa Waziri mkuu, na serikali isidondoshwe, na wabunge wakaridhika.

Kwa hiyo hoja ya Polepole ni invalid maana alimtetea magufuli kwamba kosa la kuuza nyumba au ubadhirifu uliotajwa na CAG alitakiwa awajibike w/mkuu ila tumeona mara kadhaa mawaziri husika wakiwajibika
 
Pole pole anawanyoosha kweli UKAWA na bado wana hamu nae
 

Attachments

  • 1439587492660.jpg
    1439587492660.jpg
    67.4 KB · Views: 102
Kwa mtu asiyekusikiliza vizuri anaweza kuona vitu unavyoongea vinamashiko lakini nakuhakikishia unajichanganya sana ndugu yangu.

Wewe sio mchambuzi mzuri wa siasa ila ni msemaji wa chama cha mapinduzi. Jifunze kwa wachambuzi wa siasa kama Prof Kitila na Dr Bana. Wenzako wako dyanamics licha ya kuwa na vyama vyao saa nyingine kwenye ukweli wanasema ukweli hata kama ni ukweli mchungu kwa vyama vyao.

Sasa wewe umekazania Magufuli yuko sawa ata nyumba zilivyouzwa haikua kosa lake si asingeshiriki basi angejiuzulu.

Polepole punguza mahaba unakua unaboa
 
Albert the king kambeba Mtatiro... hilo wengi tumeliona..
Mtatiro hakuongelea kabisa kujiuzulu kwa bosi wake Lipumba..unafiki mtupu..

Kwani aliulizwa!?

Mbona Pole Pole hakujibu aliyechakachua maoni ya wananchi ni JK!?
 
Katika kipindi ambacho kimekua na Changamoto nzuri na zenye tija ni Leo na Nadhani Humphrey PolePole ataenda kulala na tai shingoni....!!!!!
 
Chama cha mapinduzi hakijawahi fany amapinduzi yoyote ya maana nchini zaidi ya kupindua(overthrow) tawala za nchi nyingine kwa manufaa ya mataifa makubwa huku tukiambulia vijisifa vya kipuuzi.Hatuna mapinduzi ya Kijani,njano, hakuna mapinduzi ya viwanda, hakuna ya afya, hakuna mapinduzi ya michezo,hakuna mapinduzi yoyote zaidi ya yale kumpindua Sultan yaliyofanywa na wazenj
 
Polepole kama alivyo ana agenda yake binafsi kwa kisingizio cha wanachi teh teh ni nani asiyejua kama bila ya Mkapa, Pombe asingekatiza
 
wakuu kwanza naomba niulize ..Hivi huyu Polepole anafanya kazi gani? au kuwa maarufu hivi ni kwa lipi hasa?... au anacheo gani kwenye mambo ya siasa?

(nimeuliza kwa nia njema tu maana mi huwa sifuatilii siasa ila sasa naona ni mda wa kujua mstakabali wa nchi yangu inaelekea wapi)
 
Nilikuwa napenda sana kumuangalia zamani ,ila kwa sasa amelishwa Sukari na ccm sina muda huo
 
mm sitegemei ch10 wammite tena hapo.............kam mdau wa maendeleo unaon chenge,,tibaijuka n.k hawan effct kweny taifa,,
 
Kwa hiyo hoja ya Polepole ni invalid maana alimtetea magufuli kwamba kosa la kuuza nyumba au ubadhirifu uliotajwa na CAG alitakiwa awajibike w/mkuu ila tumeona mara kadhaa mawaziri husika wakiwajibika

Maana yake Kama wote wawili hatukuwauliza wakati huo kwa nini tuulize sasa, ikibidi tuwaulize wote wawili.
 
Back
Top Bottom