Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

PolepOle Hana Jipya,Katumwa Kumbomoa EL,Kumbe Anajibomoa Mwenyewe,Pesa Ni Sumu Ya Utashi.
Ukawa Juuuuuuuuuuuuuu!
Lowasa Raisssssssss 2015,
Hongera Sana Mtatiro Kwa Utashi Wa Viwango!"WILL OF STANDARDS"
 
Mr. President

Kweli ukiambiwa jambo na akili za mtu mwingine changanya na akili zako. Wote walikuwa 50/50
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama polepole angekuwa anapata kazi ya kuelimisha watu kipindi hiki endapo Dk Slaa angekuwa mgombea wa ukawa…!! Ki msingi ukawa utapata upinzani sana kumchukua huyu mwizi yaani kaaribu kila kitu hasa imani yangu imetoweka kwa chama changu kisa yeye…!! Dk Angekuwa yupo pale juu nisingetarajia polepole kusema lolote baya kwa ukawa ila kwa bahati mbaya Julius alijua kama anamashabiki na ndio maana alimaliza kwa mbwbwe na kuvuta koti kwa mbwembwe vile.
 
Chadema mtabadili wachambuzi tu ila huyu polepole hamumuwezi
 
mimi huyu Polepole eti tuhuma za Magufuli anasema abebeshwe Waziri Mkuu wakati huohuo anasema Membe awanibishwe ilhali Membe sio Waziri .mkuu
 
polepole leo alipwaya sana kwenye kipindi hasa kwa kumsafisha magufuli kwa tuhuma zake za kuuza nyumba na ugisadi kwenye tanroads..
 
Kama Polepole ana huruma na dk Slaa kwanini basi hakujiunga na ChADEMA enzi hizo ili kutetea Haki na kukiimarisha chama badala yakwenda kuvaa gamba la MAmba. ikiwa alikua kweli na Imani na Dk Slaa. leo anaongea kuwavuruga UkAWA wasiwe na Mtazamo sawa wa kuing'oa CCm madarakani; ili chama chake kishinde uchaguzi mkuu, na Tumbo lake lizidi kua kubwa. AACHE POROJO.ANAJIDAI Anataka kumarisha upinzani. Nani kamwambia Chadema inataka kuendelea kuwa mpinzani badala ya kushika Dola?

MATATIZO NDANI YA CCM ni makubwa na yanawekwa kwa usiri mkubwa, aanze kuyazungumzia hayo na umeme unavyokatika kila siku tusipate news. Tuone AtAFiKA WApi.
 
Mtatiro Kajitahd Kumatch Na Polepole Lakin Stl Bado Sana Kumzidi Huyu Kijana Wa Ccm...Tuache Unafiki Na Uvyama Pembeni Ukwel Tumeuona Mtatiro Kazidiwa Lakin Si Kama Msigwa....!!!

Alicho zidiwa kipi hapo,na wakati polepole anaongea kwa chuki na rohombaya kawa Lowasa,na mtatiro anampa data tena zenye utafiti.
 
Kwa Mujibu wa Polepole, waziri mkuu ndio anatakiwa kubeba Lawama na sio Waziri wa kawaida, kwa maana nyingine ni kwamba hakuna Waziri wa kawaida ambae amewahi kufanya makosa
 
Polepole anajitekenya na kucheka mwenyewe. Ha ha ha ha...hili kabila la ccm nihatari sana...
 
Kwasababu El alikuwa kiongoz wa juu sana wa serikali huwez kukurupuka tu na kumshtaki kwahyo kile kipindi ambacho mzee El amejiuzulu madaraka yake ya uwazir mkuu ccm ikaone imlee tu mzee wa watu cku ziishe lakin wakati huo huo ilitambua kuwa ndoto zke tena za uongoz wa juu ktk nchi hii atausikia tu katka vyombo mbalimbali mfano mzuri kumkata mapema hata top 5 hakwepo hawez kutuulia chama chetu na serikali yetu iliyopo madarakani labda serikali ya ndoto ya usingizini ya ukawa mtampa uongoz lakin c ccm mzee kapotea japo anahaki ya kwenda chama

chchote

watu hata namba hamsomi lowasa alikatwa ili kupisha uwanja kws Membe aliyekuwa chaguo la mkiti maana angepambanishwa lowasa na membe lazima lowasa angepita sasa wakaona wsmkatilie mbali. Nec walipogungua EL kakatwa kisa Membe ambaye hakuwa chaguo lao wakapiga kura kumuondoa membe ndio magufuli akaokota pochi hapo bila kutarajia. hixo ndo siasa za bongo ujui tulua kaa kimya sio lazima kupost
 
Haka kajamaa kapolepole , kametumwa wanamwambia magufuli nimpigaji kanasema eti alikuwa anasimamia mbona kikwete anasimamia na kwa muda mrefu ufisadi umetokea kwenye muda wake lakini hakujiuzulu
 
Hamphrey Polepole anapambana na Ukawa yenye fisadi mmoja kuliko ccm yenye wachafu 1000
 
Pole pole ni shida eti Magufuli uuzaji wa nyumba awajibishwe waziri mkuu.... lakini wakati huo anasema Muhongo na membe wawajibishwe ... kwa nini na wao asiwatetee kwamba waziri mkuu au raisi ndo awajibishwe? ... je hii sio double standard... huyu kama Lipumba tu kaonjeshwa na kitengo... tusimwamini tena....
 
Bado CHADEMA wanaamini ilikuwa busara kumtosa Dr Slaa na kumkumbatia Lowassa? Ni week ya tatu sasa kazi imekuwa ni kumtetea na kumsafisha Lowassa, na hapo bado makabati hayajafunguliwa! Safari ya matumaini!
 
Back
Top Bottom