Hata sisi tuliangalia kwanini unataka sema umedanganywa wapi?wewe ndie polepole hutaki kukubali kuwa ulipoteza fahamu hadi ukashindwa mpa mkono washiriki ukiwa unajifiria?Karibu ktk siasa..maji waliyoyashindwa makatibu kibao na viongozi wengine wa CCM...polisi na wakuu wa mikoa,wilaya wote wamechemsha.
Mimi huwa nawashangaa sana hawa ccm kwa nini hawataki kusikia yanayosemwa na wengi??au ndio ulevi wa madaraka?