Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Baada ya kugundua huyu Polepole hajitambui nikaachana na kipindi Chao. Ni bola kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu. Polepole Ni mp....umbavu hajitambui
 
Mzee unafahamu historia ya mpango huu wa mkukuta japo kidogo???

Naufahamu kwa nilishiriki kwa namna moja au ingine ktk utwangaji wake. It is one of themes used to cheat majority of citizens. Ila ninachojua serikali ikitoa document kama hiyo donors huwa wanajilialign kuitekeleza. Hivyo majority of donors channeled their youth funds through this young man HP under MKUKUTA
 
Nilichojifunza toka kwa Polepole:

CCM katika mchakato wakee wa kupata wagombea urais imefanikiwa kuwaondoa mafisadi wake wakubwa waliokuwa na matumizi makubwa ya fedha ili kushawishi wajumbe wawapitishe katika uteuzi. CCM wangeshindwa kuliona hilo nchi ingekuwa imeuzwa.

Mfumo ni zaidi ya CCM. Mfumo ni utendaji mzima wa Watumishi wa Umma, Sekta binafsi, Mahakama, vyombo vya ulinzi na usalama na taasisi zake. Kumuondoa Rais au chama peke yake Hakuondoi mfumo.

Watanzania hawahitaji mabadiliko (Change of regime), wanahitaji Mageuzi (Transformation). Mageuzi ndiyo yanayoweza kubadili mfumo na ambao ukibadilishwa hauwezi kurudiwa tena lakini change of regime inaweza kuwa reversed.

Lowassa si mtu binafsi bali ni taasisi yenye wafanya biashara wakubwa ndani yake, isiyoweza kudhibitiwa kwa maamuzi yake. Ila yeye anaweza kuwadhibiti wengine kama inavyotokea sasa katika baadhi ya viongozi wa vyama vya ukawa kudhibitiwa. Taasisi hii ndiyo ikiwa ndani ya CCM ndiyo iliyopambana kuzuia mabadiliko ya Katiba mpya sababu ina athari katika maslahi yao ya kibiashara.

Magufuri katika utumishi wake wote, amehudumu wizara zisizo za muungano ambazo msimamizi wake ni Waziri mkuu. Maana yake majukumu yake ni ya utekelezaji wa maagizo ya Bosi wake, Waziri mkuu. Mfano uuzwaji wa nyumba za serikali.
Hayo mnadanganyana ninyi watoto wa jana,mfumo unaanzishwa na individual kama vile Marehemu Nyerere alivyoanzisha ubadhirifu wa mali ya umma katika mashirika, serikali za mitaa na ushirika ili kuijenga TANU NA CCM na ndio mpaka leo mfumo huo umegraduate kuwa ufisadi. Polepole hana uwezo wa kuhamasisha umma kuunga mkomo rasimu ya tume ya warioba kwa kuwa hana locus,awaache wenye locus yaani vyama vya siass vifanye kazi yake. Hii tabia ya mtu mmoja kujichukulia kues ni yeye pekee yuko sahihi kwa kila kitu sio sahihi. War is a series of battles and each battle is wom independently. HP asijifanye yeye ana haki zaidi ya watanzania wengine kwenye mchakato huo.
 
Mimi huwa nawashangaa sana hawa ccm kwa nini hawataki kusikia yanayosemwa na wengi??au ndio ulevi wa madaraka?
nasikia watu wakilaaniwa huachiwa kiburi iwameze kwa kiasi cha kuwalevya n akuwa na mioyoyo migumu.
 
Hamna Mgao Kuna Marekebisho Yanafanywa Tayar Kwa Ges Kuanza Kutumika Ktk Uzalishaj Umeme

Hayo marekebisho yanafanyika kinyerezi au arusha manake arusha ndo hardest hit na tujuze please yanakamilika lini?
 
Naona polepole anashindwa kuchambua politics ya tanzania , kama mchambuz unatakiwa uongelee mazur na mabaya ya mtu inapofika kwa lowasa anakuwa anaona mabaya tu ya lowasa na bila kuangalia mazur alioyafanya , hapo ndipo anafel na mim namuona ni mfinyi wa kuchambua hoja za kisiasa anapelekwa na mahaba zaidi ya uhalisia

Sasa kama hajaona mazuri ya lowasa ulitaka afanye nini?
 
Mkuu Ringo Edmund naomba urudi hapa,ili unipe ile cream ya hoja yako,ina mantiki,ina uzito,itetee kwa niaba yangu please.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom