Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kinachoniuma nasoma comment za watu, wakati mimi nipo ndani ya dozi ya typhoid siku ya sita leo..[emoji25][emoji25], kila nikiweka alama kwenye kalenda siku Hazitembei..[emoji36][emoji36]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahah ili jukwaa Ni shida Sana.
.
1563476985490.jpeg
 
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
naipenda sana konyagi... inaniongezea uwezo wa kunywa maji kwa wingi ASUBUHI TU nakata lita moja. mchana natirika na maji kama mdudu vile. tatizo tu napoteza kumbukumbu asubuh ya jinsi show zinavyokwisha usiku
 
kuna kawimbo flan hivi kapiga Gadna kwenye Jahaz jion ya leo kanasema " .... i love beer..." mwenye alienako akaweke hapa kama kamenivutia kwa ijumaa ya leo kabla sijaenda kumchek Algeria akifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom