Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ndani ya Ibungu Mabibo Mwisho nalipa kodi
IMG_20190717_212249.jpeg
 
Kinachoniuma nasoma comment za watu, wakati mimi nipo ndani ya dozi ya typhoid siku ya sita leo..[emoji25][emoji25], kila nikiweka alama kwenye kalenda siku Hazitembei..[emoji36][emoji36]
 
Karibu kirukuu mkuu
 
Kinachoniuma nasoma comment za watu, wakati mimi nipo ndani ya dozi ya typhoid siku ya sita leo..[emoji25][emoji25], kila nikiweka alama kwenye kalenda siku Hazitembei..[emoji36][emoji36]
Kiwanda hakifungwi mkuu maliza dozi.pole kwa kuugua get well soon
 
Oohh pole sana hope atapona haraka Mungu amjalie uponyaji haraka
Ile tar niliykuambia siku 2 nyuma hubby akaugua had kulazwa..hv nauguza tu yaan kiu kiu gan hiki[emoji848][emoji848]...!niwekee nafasi yangu mamy...pls
 
Nafasi yako ipo dear kikubwa mwenzi wako apone kwanza ubavu huo mamito. Siku njema bado zipo
Ile tar niliykuambia siku 2 nyuma hubby akaugua had kulazwa..hv nauguza tu yaan kiu kiu gan hiki[emoji848][emoji848]...!niwekee nafasi yangu mamy...pls
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom