Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ni shiiida
FB_IMG_1560083796722.jpeg
 
mimi nikiwa na pochi nene naanzaga na JD,pochi likianza kusinyaa nashuka kwa yohana mtembezi(lebo nyekundu,nyeusi nitaiwezea wapi),mambo yanapoendelea kukaza nashuka kwa vladimir vodka...hali ikiwa tata katika levo ya mwisho nadondoka na ngumu kumesa(bapa)
sinywagi bia,..you know why?naweza kunywa hata 20.,sababu nyingine bia inajaza mipovu tumboni
shout it out to whoever muasisi wa utengenezaji pombe(iwe ya kienyeji au ya kigeni)
cheers
Wastahiri tuzo liquid jajaaliwa tu,yaani tasti zoteee umenishangaza mkuuu
 
Make ni ujinga, eti mtu mmoja anamaliza kreti na bado anahudhuria mkutano si ni upumbavu huu


K vant na nyagi zibaki kama mwasisi wa pombe

Tujitungue na vladimil na mengine ya aina ya spirit
Ni jambo Jema tena zibakie k vant tu na konyagi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom