Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

IMG_9883.JPG
mdogo mdogo
 
Wakuu habari!? juzi bana jtatu nliamka najiskia hovyo nikaenda pima nikakuta nna typhoid,sasa wakuu nikapewa dozi ya siku 10,nikaanza juzi kuitumia mpaka jana usiku,sasa leo hii tokea asubh bahati mbaya nlikua job na skubeba dawa so sjatumia dawa tokea asubh!!sasa jaman nimekaa sehem nshakula nyama koo linataka bia tu je nikinywa bia ntadhurika!?? naombeni mnipe ushauri maana hapa nataka nipige vyombo then kesho niendelee na dozi yangu .
 
Maliza kwanza Dozi mkuu
 
Kausha kwanza typhoid sio mchezo mchezo
 
Back
Top Bottom