Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hapana wikii hii na imani utakua maeneo hayo,baadae tukaenda triple7 sema palikua pamepoa tuliingia mida ya saa 10 nikasema nitakukuta maana unakuelewa sana hapo.
Inshallah. 777 siku hizi nimepachoka ila nilienda karaoke Wednesday.
 
Mapema kabisa leo
1559642279750.jpeg
 
Ipo siku nitaandika wosia wa mimi mlevi

Kwa asilimia tisini mshana unachangia mimi kunywa pombe kwa kasi kubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom